Ndio.Mkuu je ninaweza kuiongeza hii ward post kwenye shiping adress yangu ali express
Nimekuelewa mkuu ila kwa hapa nilipo ni mtihani ni kijijiniNdio.
Lakini itakuwa meaningful kama kwenye address kuna hadi house namber / plot number / block number, na room number kwenye majengo ya flats.