Jinsi ya kutambua post code ya kata/mtaa unaoishi

Jinsi ya kutambua post code ya kata/mtaa unaoishi

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
887
Reaction score
1,596
Inawezekana kwamba waliowengi wanajua jinsi ya kutambua post code ya mtaa/kata lakini nataka kuwakumbusha na kuwajuza wale wasiofahamu kabisa

Fuata njia zifuatazo kwenye simu yako;
Screenshot_20190720-070710.png
_20190720_080032.JPG
_20190720_080147.JPG
_20190720_080230.JPG
_20190720_080304.JPG
_20190720_080342.JPG
_20190720_080412.JPG
_20190720_080444.JPG
_20190720_080516.JPG
Screenshot_20190720-070956.png
 
Njia rahisi kupita zote ni kuisoma kwenye kitambulisho chako cha Taifa (NIDA).
Ukizisoma vizuri namba za kitambulisho toka kushoto kwenda kulia utaona unaanza mwaka uliozaliwa, mwezi, siku, kisha alama ya dash(-) , zinafuata post code ya mtaa uliojiandikisha.
Baada ya post code inafuta dash(-) na namba zingine ambazo zina taarifa tofauti.
Ni hivyo, rahisi sana.
 
Njia rahisi kupita zote ni kuisoma kwenye kitambulisho chako cha Taifa (NIDA).
Ukizisoma vizuri namba kitabulisho toka kushoto kwenda kulia utaona unaanza mwaka uliozaliwa, mwezi, siku, kisha alama ya dash(-) , zinafuata post code ya mtaa uliojiandikisha.
Baada ya post code inafuta dash(-) na namba zingine ambazo zina taarifa tofauti.
Ni hivyo, rahisi sana.
Ahsante ila bado kuna shortcomings hapo, mfano kama sehemu unayoishi ni tofauti na eneo ulilojiandikisha
 
Ahsante ila bado kuna shortcomings hapo, mfano kama sehemu unayoishi ni tofauti na eneo ulilojiandikisha
Ni kweli.
Itabidi ufuate njia ya mleta mada.
Kama hiyo unakatwa pesa na wewe hautaki basi tembelea http://address.go.tz kuna system inaitwa NAPS.

Hii inatumia hadi na ramani kama google maps au kwa kufuata chaguzi ktk orodha.
 
TCRA wana li PDF lenye postcode za nchi nzima
Ni ww tu kuingia kuweka mkoa nakulipakua
 
Nikishajua inanisaidia kufafanyaje?
Mkuu hiyo post code ni physical address ambayo ukiunganisha na namba ya nyumba itawezesha kukufikia au kukufikishia vitu mfano kifurushi au barua hadi nyumbani kwako..
Post office box(P.o.Box) ni logical address ambayo haisemi physically wewe upo mtaa mtaa gani na ndio maana lazima ukafuate ofisi za posta/courrier kifurushi chako.
Wenzetu huko nje ndio maana kila kitu wanaletewa mlangoni kwao sababu ya hizo code number(postal code).
Ukimpa mtu hizo namba na nyumba yako ataweza kuja hadi kwako kirahisi kwa maeneo yaliyopimwa vizuri na mipango miji.
 
Mkuu je ninaweza kuiongeza hii ward post kwenye shiping adress yangu ali express
 
Back
Top Bottom