Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,793
Hilo jamaa jinga sana, linaanza kutukana kwa kitu hata asichokijua...keshazoea mdandio bas anadandia kila kilichosimama.oya acheni matusi wakuu. kama mtu ambaye humuoni unaweza kasirika kiasi hiki je ambaye unamuona si utachefuka sana mkuu? tujifunze kupotezea na ndiyo ishara ya ukubwa wakuu wangu.
Kaanza kutukana kwenye comment ya kawaida kabisa.