Jinsi ya kushiriki kuichangia Yanga kupitia mpesa,tigo pesa na airtel money

balili

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
230
175
JINSI YA KUICHANGIA KLABU YETU.

VODACOM M-PESA.
1.Piga *150*00#
2.Chagua 4 - Lipa kwa M- Pesa.
3. Chagua 4- Ingiza namba (123123)
4. Weka Kumbukumbu Namba (150334)
5. Weka Kiasi.
6. weka namba ya siri.
7. Utapata ujumbe wa uthibitisho.

TIGO PESA.
1. Piga *150*01#
2. Chagua namba 6 (Huduma za kifedha)
3. Chagua namba 5 (Selcom Pay).
4. Ingiza namba ya Malipo (150334).
5. Weka kiasi.
6. Ingiza namba ya siri.
7. Utapata Ujumbe wa uthibitisho wa muamala.

AIRTEL MONEY.
1. piga *150*60#
2. Chagua namba 5( Fanya Malipo)
3.Chagua namba 2 ( Uchaguzi wa biashara)
4.Chagua namba 3 (Manunuzi)
5. Chagua namba 3 (Selcom)
6. Weka kiasi.
7.Ingiza namba ya malipo (150334)
8.Weka namba ya siri.
9. Utapata Ujumbe wa uthibitisho wa muamala.

UKIFANYA HIVO UTAKUWA UMEICHANGIA KLABU YAKO, HONGERA SANA MWANANCHI! PIA ITAKUWA VEMA UKITUONESHA UJUMBE WAKO HAPA WA MALIPO. . PIA WAHAMASISHE NA WENGINE KUCHANGIA.
 
Asante sana,wazo hili limetoka kwetu wanayanga wenyewe na uongozi umelifanyia kazi hivyo hatuna mgomo na timu yetu pendwa,wenye mgomo itakua wale wanaotaka point za mezani

ni wazo zuri mkuu,hata wale wachezaji wanaostaafu,watafanya hivyo kwa amani kwa kuwa club itawatunza,hongereni sana.ila sio ziangukie kwenye mikono ya watu wachache,
 
mie nilishawahi kuwaambia mtengeneze vitu vyenu,fans club yenu t-shirts,mikoba,saa etc muuze,hivi mnadhania kuna mtanzania atatoa hela yake hivi hivi,hatuna utamaduni huo labda kwenye harusi,lol
Hivyo vyote vipo kwenye mpango mkakati wa muda mrefu kwa sasa tumeanza na huu mpango mkakati wa mda mfupi
 
JINSI YA KUICHANGIA KLABU YETU.

VODACOM M-PESA.
1.Piga *150*00#
2.Chagua 4 - Lipa kwa M- Pesa.
3. Chagua 4- Ingiza namba (123123)
4. Weka Kumbukumbu Namba (150334)
5. Weka Kiasi.
6. weka namba ya siri.
7. Utapata ujumbe wa uthibitisho.

TIGO PESA.
1. Piga *150*01#
2. Chagua namba 6 (Huduma za kifedha)
3. Chagua namba 5 (Selcom Pay).
4. Ingiza namba ya Malipo (150334).
5. Weka kiasi.
6. Ingiza namba ya siri.
7. Utapata Ujumbe wa uthibitisho wa muamala.

AIRTEL MONEY.
1. piga *150*60#
2. Chagua namba 5( Fanya Malipo)
3.Chagua namba 2 ( Uchaguzi wa biashara)
4.Chagua namba 3 (Manunuzi)
5. Chagua namba 3 (Selcom)
6. Weka kiasi.
7.Ingiza namba ya malipo (150334)
8.Weka namba ya siri.
9. Utapata Ujumbe wa uthibitisho wa muamala.

UKIFANYA HIVO UTAKUWA UMEICHANGIA KLABU YAKO, HONGERA SANA MWANANCHI! PIA ITAKUWA VEMA UKITUONESHA UJUMBE WAKO HAPA WA MALIPO. . PIA WAHAMASISHE NA WENGINE KUCHANGIA.

Naona mnatafuta Kijanja Mtonyo wa kuwahonga Mbao FC Jumapili katika ASFC.
 
Wala nyasi fc, mtakula zile nyasi pale bwawani na kunywa ule mkojo pale mharishe mpaka mkome...
Na mbado, Manji si ndio aliwapa jeuri mngempa hiyo timu leo msingepitisha bakuli!
 
Back
Top Bottom