😂😂😂😂. Akafanye umempatia sasa strategy yeyote. Mshamba mkubwa ww. Si umwambie basi namna ya kuingia hizo talent shows. Mimi nimemwambia challenges, ni juu yake kuzichambua na kuona namna ya kuzitatua. Ww unasema tu kafanye kitu hata haukijui. Unaongea kana kwamba unajua kitu you have zero knowledge. Eti inferiority complex. Usinifurahishe. Watu kama ww mnaweka malengo LAKINI HAMYAFANYII KAZI. Mnapenda kuota ndoto tu za mchana. Pole sana.
Umetumia emoji means umeanza kuwa emotional hivyo inamaanisha kila unachoandika kinatokana na msukumo wa emotions.
Second ni kwamba umetumia laughing emoji ili kucover nini kinaendelea ndani ya kichwa chako right now but still naona nini kipo ndani kichwa chako right now the truth is you're frustrated and disappointed.
And that's why you're full of negative.
Like unakumbuka nilivyokuuliza swali kama mara ya kwanza badala ya kujibu swali instead ukaanza kujielezea maisha yako binafsi.
That's why umeandika hivi
Watu kama ww mnaweka malengo LAKINI HAMYAFANYII KAZI. Mnapenda kuota ndoto tu za mchana. Pole sana.
So this is how you're brain works.
Right now umeanza tena kureflect maisha yako ya ndani kabisa na binafsi.
Na kudhani kila mtu yupo kama wewe that's why umeanza kujireflect wewe kwangu mimi but the truth is I'm not you.
Hizo ndoto zako ulizo nazo HAKUNA HATA MOJA ITATIMIA. SIO LAANA.. Ila kwa mentality yako hiyo, hautatimiza hata moja. Kama na ww unapenda muziki, WALA HAUTAFAHAMIKA HATA TU MKOANI MWAKO. Utapoteza muda tu ukifikiria utakuwa Star. 😂😂😂. Pole sana. Kajifunze kulima au biashara itakusaidia.
Hii ni second time unaendelea kujireflect mwenyewe kwangu mimi.
Na mimi sina ndoto za kuwa star wala kuwa na ndoto za kuwa mwanamziki kama ndoto ulizonazo wewe.
Na mimi huwa siweki ndoto wala sina ndoto.
Mkuu narudia tena I'm not you so acha kujiexpose maisha yako mwenyewe.
Pole sana. Kajifunze kulima au biashara itakusaidia.
Hicho ndicho ulichofanya baada ya ndoto zako kushindikana.
I can prove it.
Japo kwa sasa ninajihusisha na entrepreneurship zaidi sababu ya changamoto fulani za bureacracy nilizokumbana nazo kwenye media and entertainment
Like i said before lazima utaendelea kujidefend sababu hiyo ni kawaida kwa watu wajinga na wenye akili changa.
That's why umeniquote mara mbili na kutumia maneno mengi makali kwa kusisitiza na kutumia laughing emoji kucover na kujidefend but you know the truth about yourself.
Narudia tena wewe hujui chochote kuhusu talent shows so usimkatishe mleta mada tamaa ashindwe kama ulivyoshindwa wewe.