Jinsi ya kushiriki international telent show

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,083
Habari za leo wakuu.

Bado naendelea kuimba japo sijaanza ku record official kutokana na mazingira kutokuwa rafiki.

Lakini malengo yangu nataka kushiriki international talents.

Nipeni njia za kuweza kuingia kwenye international telent wakuu.
 
View attachment 1663034

Utafikiriaje international talent show wakati hata mkoani kwako haufahamiki? Unaanzia local kwanza, kitaifa, ndio kimataifa. Kama ingekuwa kirahisi hivyo wengi wangefanya tu.
Ila ukienda nchi za nje ukaishi huko, unaweza pata fursa. Au kipaji kikafa kabisa. Moja ya hayo
 
Boss..Kama unajiamin..ingia kwenye website zao..Kama wale american got talent au british got talent utaona utaratibu huko..Ila kikubwa uwe na pesa za kujisafirisha huko
 
Sio kirahisi kihivyo. AGT na BGT kwanza inatakiwa uishi USA au UK respectively. Na process ya kupata nafasi kwa show inachukua mwaka mzima au zaidi. Kwa hio awe na hela sio kusafiria tu, ila ya kujikimu hotel, chakula nk kwa mwaka au zaidi. Hapo inahitajika at least USD 1500 kila mwezi. Pia wazungu ni racists sana. Hata english ya kiafrika tu itakuangusha. Manake hata kupewa nafasi za awali chance ni ngumu sana. Hasa kwa mtu ambaye hata Tanzania hafahamiki kabisa. Aachane na ndoto za abunuwasi. Aanze kujipatia umaarufu tanzania.
 
Wewe umeshawahi kujaribu kufanya hicho kitu?
 
Mimi nimekuwa producer wa music kwa muda mrefu. Pia naishi USA. Japo kwa sasa ninajihusisha na entrepreneurship zaidi sababu ya changamoto fulani za bureacracy nilizokumbana nazo kwenye media and entertainment. Studio ipo ninayo ya nguvu sana. Nimeihamishia tanzania. Naamini Nitaanza kazi nafikiri next year. Nimeshafanya kazi na baadhi ya american idol contestants in los angeles. Naelewa sana mambo ya music. 17 years experience
My Youtube channel
 
Hapana mimi sijauliza kuhusu wewe ni nani.
Nilichouliza ni kwamba wewe umeshawahi kujiingiza kwenye mambo ya talent shows like agt?
 
Nauliza kama umewahi kujiingiza kwenye talent show yoyoye.
Ww unakuwa kama mjinga. Hebu pita hivi. Usinipotezee muda wangu mimi. Na sina kitu cha kukujibu tena. Ushauri nimeutoa. Fuata au usifuate. Is up to u. Lakini msidhanie mambo ya muziki ni lelemama. Kutoboa sio mchezo.
 
Boss acha kumkatisha mtu tamaa aisee..tunaona waindi..wazambia, na last year Kama sikosei Kuna mtanzania alishiriki mmoja wapo ya hizo got talent na akafika hatua kubwa tu...

Nachikiona kwako ni ujuaji mwingi usio na tija..mtu anakuukiza swali A wewe unamjibu historia ya maisha yAko..

Hizo Got talent ziko open kwa Kila mtu mwenye kipaji kutoka duniani..ukitaka ushahidi ingia kwenye channel zao ya youtube huko utaona watu wa race tofauti wakiwanashiriki..
 
Ww unakuwa kama mjinga. Hebu pita hivi. Usinipotezee muda wangu mimi. Na sina kitu cha kukujibu tena. Ushauri nimeutoa. Fuata au usifuate. Is up to u. Lakini msidhanie mambo ya muziki ni lelemama. Kutoboa sio mchezo.
Na kingine hakuna anayekupotezea muda mzee..umefungua uzi mwenywe..ukasoma mwenyewe. Na umekoment mwenyewe kwa utashi wako..so ukiona unapoteza muda kimbiaa...ukajambie mbali huko.
 
Ww unakuwa kama mjinga. Hebu pita hivi. Usinipotezee muda wangu mimi. Na sina kitu cha kukujibu tena. Ushauri nimeutoa. Fuata au usifuate. Is up to u. Lakini msidhanie mambo ya muziki ni lelemama. Kutoboa sio mchezo.
I knew it.

Najua na nina uhakika wewe hujawahi kujiingiza wala kujihusisha na talent show yoyote.

Sasa kama wewe hujawahi kujiingiza wala kujihusisha na talent show yoyote then huna mamlaka ya kusema kitu fulani ni kigumu wakati huna experience wala hujui nini kipo ndani ya hicho kitu.

It's like unasema ndani ya box kuna nyoka wakati hujawahi kulifungua wala kuliona hilo box.

Watu wajinga na wenye akili ndogo siku zote wanakuwa na inferiority complex bila wao kujua hivyo bongo zao hukimbilia kujidefend ili kupingana na reality.

That's why umekimbilia matusi ili kuweka self defense and that's prove hujawahi kujihusisha na talent show yoyote hivyo hiyo inaprove hujui unachokiongea hivyo acha kukatisha watu tamaa.
And i know utaendelea kuniattack ili ujifeel safe and right but in reality you know who you're....

Mleta mada just go and do it mambo mengine hutakiwi kuomba ushauri just make your own ways.
 
Mkuu hiyo song ni say something by a great big world.

Hiyo lugha uliyotumia ni ipi?
 
elezea basi nasisi wa free basics tuelewe
Mleta mada ameimba nyimbo
inaitwa say something imeimbwa na jamaa wanaitwa a great big world pamoja na Cristina aguilera kama sijakosea.

Ila lugha aliyotumia ndio siielewi ni kama Chinese.
Hivyo nikamuuliza hiyo lugha aliyotumia ni lugha gani.
 
Asa kama lugha huielewi umejuaje kuwa ni huo wimbo?
 
Back
Top Bottom