Jinsi ya kusajili shule ya computer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kusajili shule ya computer

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Logo, Jun 3, 2011.

 1. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari za wanaJF,
  1.Naombeni msaada wenu mimi nataka kuanzisha shulke moja makini tu ya computer. Basic Applications na Advanced applications je ni hatua zipi za kusajiri kwa mwenye ufahamu huo anisaidie!
  2. Ni mkoa upi ambao unaweza ukanilipa sana kwa mambo ya computer?
  shukrani kwa mchango wako!
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  bwana mzee kuwa makini sana na lugha kama unataka tuone upo serious
   
 3. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sawa mkuu! nashukru sana kwa ushauri wako!
   
 4. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2014
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Hapa popote
   
Loading...