love more than100
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 2,061
- 715
....madogo yana nafuu.
Maana siku hizi kitchen party zinatolewa mpaka na wanaume.
....madogo yana nafuu.
Maana siku hizi kitchen party zinatolewa mpaka na wanaume.
Wewe kama mwanaume una mamlaka gani ya kutoa nasaha za namna wanawake wanavyopaswa kusafisha vitumbua vyao?
Watu wengine bana!
Duh kwa hiyo uke unasuguliwa kama jinzi...
kuna sabuni maalum wanauza kwa kusafishia uke. hujawahi kuziona dada! kama hazipo ni tz ila nilishawahi kuziona nchi fulani.
Habari zenu wakuu.
Leo sio vibaya kaka yenu nikawaelewesha jinsi ya kusafisha uke kwa dada/mama zangu ili usiweze kutoa harufu mbaya.maana nimeona malalamiko humu na sehemu nyingine wanaume mwenzangu wakilalamikia hiki kitu.
i) Wewe kama mwanamke inabidi uwe unajiswafi vizuri na kutumia maji mengi kila baada ya kwenda chooni.
ii) Jitahidi kila siku uwe unajiswafi kwa sabuni mara mbili usiku na mchana.
iii) Kila unapoenda chooni baada ya kujiswafi vizuri basi ni vizuri ukatumia toilet paper kukausha maji katika sehemu hizo za siri. kausha vizuri kabisa mpaka maji hayo yakauke.
iv) Usiwe unapenda kulala na chupi ili hewa ipate kupita vizuri.
v) Mwisho kumbuka kubadilisha chuppi kila siku.
Fanya hivi kila siku uone utakavyokuwa msafi na mwenye kuvutia katika sehemu zako za siri, no harufu wala bugdha yeyote itayokuwa inatoka huko.
Ni rahisi sana dada zangu si mnaona.
tuwekee picha mkuu ili tuamini usemacho kuhusu shemmkuu maelezo hayo nimeyatoa kwa mke wangu. anafanya hivyo kila siku. msafi sanaaaa. nikaona si vibaya kuwashirikisha. jaribu uone!
anza kwanza kueleza jinsi unavyosafisha pumbu zakoHabari zenu wakuu.
Leo sio vibaya kaka yenu nikawaelewesha jinsi ya kusafisha uke kwa dada/mama zangu ili usiweze kutoa harufu mbaya.maana nimeona malalamiko humu na sehemu nyingine wanaume mwenzangu wakilalamikia hiki kitu.
i) Wewe kama mwanamke inabidi uwe unajiswafi vizuri na kutumia maji mengi kila baada ya kwenda chooni.
ii) Jitahidi kila siku uwe unajiswafi kwa sabuni mara mbili usiku na mchana.
iii) Kila unapoenda chooni baada ya kujiswafi vizuri basi ni vizuri ukatumia toilet paper kukausha maji katika sehemu hizo za siri. kausha vizuri kabisa mpaka maji hayo yakauke.
iv) Usiwe unapenda kulala na chupi ili hewa ipate kupita vizuri.
v) Mwisho kumbuka kubadilisha chuppi kila siku.
Fanya hivi kila siku uone utakavyokuwa msafi na mwenye kuvutia katika sehemu zako za siri, no harufu wala bugdha yeyote itayokuwa inatoka huko.
Ni rahisi sana dada zangu si mnaona.
nimewafundisha kiroho safi ila naona dada unaleta kashfa.
Mimi kwangu raha ya mwanamke vuzzzz...
unakuta uchi kipara kama wa mtoto mchanga....
wala haina ladha....
inatakiwa dushe litimue vuzzz....kudadeki....
Maelezo meeengi, kitu visual bhana! Weka picture mkuu, we vipi!
mkuu we female au male? kama ni female kweli hujui umbile lako likoje mpaka unataka picha??? kama ni male subiri ukue dogo utaiona kabisa bila chenga na sio picha unayotaka hapa!
watu wengine sijui wakoje! " kujitia vidole au sabuni ukeni haifai" nani amekwambia ujitie vidole au uingize sabuni ndani kabisa ya uke?! nimewaambia mnatakiwa kuosha na sabuni hiyo area ambayo ipo around na vagina na sio kuingiza sabuni ukeni! kwa sababu humo ndani inajisafisha wenyewe with natural vaginal secretions.
kama hauna uwezo wa kununua hizo sabuni ambazo ni special kwa kazi hiyo basi unaweza kutumia hata sabuni zisizokuwa na manukato.
halafu nimesahauu kuwaelewesha kitu kingine wakati wa kujiswafi anza kwanza na uke kisha ujiswafi na nyuma panapotoka haja kubwa.
sasa we kama unaona unadanganywa kaa na harufu/uchafu wako mana wengine naona hamtaki kufundishika!