Jinsi ya kurestore mesege nilizo zidelete

Jinsi ya kurestore mesege nilizo zidelete

ugido

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Posts
421
Reaction score
104
Hapari wana jamiiforum naba anaejua app ya kurudisha mesage ambazo nilishazifuta. Naomba msaada plz
 
Hapari wana jamiiforum naba anaejua app ya kurudisha mesage ambazo nilishazifuta. Naomba msaada plz
simu yako ni ya aina gani?.Kila simu ina technologia tofauti tofauti so nikijua aina ya simu yako ntaweza tajia solution gani nzuri
 
Simu ni sumsung galax j7 prime
 
Back
Top Bottom