Jinsi ya kupata UK Visa

Consider going to Finland hakuna ada chuoni ila lazima uonyeshe uwezo wa kujikimu maana kule hawana wakuu wa mikoa design ya Makonda
Uwezo wa kujikimu kama kiasi gani mkuu?
 

Mkuu lete mkono, unachosema its true 100%. Wkt nikiwa namaliza msc pia nikawa naulizwa. Whats is your plan, unarudi Afrika? Nasema yes, naonekana wa ajaaabu..dah wenzetu wana active mind sanaa
 
Nimekuwa interested na hao Nigerians.... Natamani nijue kuna kitu gani ndani yao
Wako kila kona mkuu hats huku uswahilini bongo wamejazana,wana make mitaji waende kufungua biashara zao South Afrika mkuu.
 

Salute to you bro, its a nice nostalgia though! Mm kuna maza (42) mpk leo ananiambia anantaka, sema mbayaa! Afu c unajua wazungu wengi at 40's wanakua single. Tatizo ukiwakubalia daaah wanakunyanyasa sana
 
Hatujifunzi kwa mataifa mengine mkuu friendship arise among Tanzanians Kama kuna cartel ya kuteta mwenzenu .huo ndo ukweli and will remain sometimes natamani niwe tu mghana , mnigeria ama mzimbabwe kwani wanapendana si Kama hiki Kisiwa cha Amani
 
Jembe unaweza ulizia ulizia sijui address ila pale upanga kuna jamaa walikuwa connected na baadhi ya vyuo vya UK sijui Kama ukipita Red Cross Kabla ya bridge nadhani ukifanya mazoezi ya mguu ukapita pita unaweza wapata maana walikuwa na office kabisa na wako vizuri ubalozi .wana uzoefu sana na wana info nyingi sana zinaweza saidia kufungua page . Wake wana connection kuliko mtu yeyote . Wana link na matutor wengi wanaosaidia pia kupata uni Za majiu na hawa deal tu na UK
 
Salute to you bro, its a nice nostalgia though! Mm kuna maza (42) mpk leo ananiambia anantaka, sema mbayaa! Afu c unajua wazungu wengi at 40's wanakua single. Tatizo ukiwakubalia daaah wanakunyanyasa sana
Aaaah kuna mwanangu mmoja m zimbabwe my age mate aliniambia

" Bro maisha yako yote usije ukalogwa useme eti unaoa binti wa kizungu, alaf useme una settle nae kule. Utakuja mwaga kilio siku.

Mambo ya kuoa mzungu tutakuja kukuona mzee mzima unatembea na viimbwa (pets) kitaa sijui mambo ya kuosha vyombo ghettoni na kulisha watoto wakidai (haki sawa kwa wote) labda kama umependa.

Asians kibao wanapiga kazi balaa mpaka za kutunza wazee wamo, taxi drivers etc hawachagui. Wana njia zao nyingi za kutafta hela yet mizungu ya pale unakuta mizembe tu kila uchwao wanalalama foreigners wanachukua kazi zao.
 
Mkuu si kwamba wazungu hawapendi kufanya kazi za shurba?
 
Mkuu si kwamba wazungu hawapendi kufanya kazi za shurba?
Aaah wale wengi wao ovyo tu...yakikuchoka yana file for divorce. Labda kama ulioa kwa malengo. Ila sio ile unasema unajenga nae maisha...wao visions zao ni kuishi kule kule kwao few wanatambua Africa kuna opportunities nyingi na kweli wako tayari kupigana kuja kuwekeza huku...ila wengi wao yanabweteka tu...watu wanapewa mpaka unemployment benefits, kuna vitu kama on job training na wanalipwa...Africa ushasikia kuna ushenzi kama huo ??

Sasa wewe imagine mimi napigana bongo huku (developing country) naenda kupiga shule UK nalipa international student fees (Debt Free) alaf mitoto yao kule wanalipa university scholar fees za raia wa kule (nafuu sanaaa) tena kwa mkopo wa serikali yao ambao kila uchwao wanahaha kulipa, ma bursaries sijui allowance yanapewa kila kitu. Yet I pay for something they can't afford nikitokea dunia ya tatu huku.

Sasa hapo nani mbishi/mjanja ?? Ni mazembe basi tu.
 
Tusiwaone wanigeria kuwa wanaakili za ziada, ni kwakuwa matatizo waliyonayo kwao ni mengi sana. Mtanzania aliemaliza darasa la saba, anaweza kuwa mkulima wa nyanya na mboga mboga. Kwa shughuli hizo anaweza kujenga nyumba ya kawaida na kusomesha watoto elimu ya sekondari.

Population ya wenzetu ni kubwa, kundi la waliosoma ni wengi, chance za kupata mkate wa kila siku tu, mtu mwenye degree ni ngumu.
 
Sisi tunasaidiana kutafuta mademu tu basiπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sisi tunasaidiana kutafuta mademu tu basiπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hahaaa mkuu Wonderful habari za week end?Inabidi tubebane sana mkuu,familia zetu nyingi ni masikini wa kutupwa,lakini angalau kukiwa na mmoja yuko vizuri anaweza hata kusomesha wengine kwenye kaya na ukawa ndio mwanzo wa maendeleo mengine.

Pia kutuma foreign currence home kutasaidia sana katika ustawi wa jamii zetu.
 
Huyo demu wa kizimbabwe nilimuoaga mie.... πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Kwakweli sifahamu sheria zao za uhamiaji kivile. Ninachojua sasa hivi ukiwa umeoa au umeolewa, unatakiwa uprovide evidence kuwa unakazi ya kukulipa Β£25,000 kwa mwakandiyo umlete mwenza. Huu ni mshahara wa graduate. Hawataki mizigo kabisa.
Mie ni mzungu, naomba nikuwowe....πŸ™‚
 

Waingereza wanathamini sana watu waliowasomesha wenyewe, wanaamini elimu yao katika huduma kwa watu wao, especially kwa sisi tunaotoka Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…