Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
That is correct...kuna dem flan mnigeria nlikua nae class moja....at the time mi nawaza kumaliza school then nirudi bongo kuendelea ku hustle huku dem akawa ananiambia plan zake kubaki kule, kupiga mzigo and how she wants to break outta poverty....Hawa jamaa wanasaidiana sana kwenye kutafuta maisha duniano pote,tofauti na sisi Watanzania,Hata ukitembelea forum yao ya Nairaland utaona ni jinsi gani wanapeana ideas mbalimbali namna ya kutoboa ughaibuni na nchini mwao pia,
Sisi wa Tz wengi hatuna hulka hiyo,kila mmoja anataka aonekane babu kubwa kuliko mwingine.
Kuna elimu flani ya kimaisha kama tume i mis vile.That is correct...kuna dem flan mnigeria nlikua nae class moja....at the time mi nawaza kumaliza school then nirudi bongo kuendelea ku hustle huku dem akawa ananiambia plan zake kubaki kule, kupiga mzigo and how she wants to break outta poverty....
Dah for the first time in my life i felt very shallow minded and way back from being a life mastermind.....baadae sanaa after kunisoma that im that cool and humble type na si mtu wa kuropoka ropoka mambo ya watu....dem akaniambia mambo mengi sanaa on how they survive there....(It just depends on how far they like u)
Yuko mbele mpaka leo navyokuambia hapa....kajisomesha ma course mengine ya ukweli tu anapiga kazi na wakati huo aliniambia ana plan kujenga nyumba ya biashara huko kwao naija. Yuko mbali sanaa now.
Kuna dada mmoja kutoka Nigeria alikwenda kufanya masters London, alipeleka watoto wote, masters, anakwambia ' my sister abeg, education here is free why should I pay money for children school fees in Africa?'Wanigeria washenz sana yako willing hata kujifelisha masomo flan wayarudie ili tu yapate a visa extension. Since unaweza kuta anaambiwa na chuo hayo masomo atayarudia kipindi flan a few months ahead huku akiwa on student visa bila ya kuwa na classes automatically anapata mwanya kupiga job full time whilst enjoying student's benefits.
Watu wanapiga mzigo kama kawa. Washenz sana wale. Wanakuambia akili ya mzungu ilipofikia wao ndio wanaanzia hapo. Its a game of manipulating circumstances. Tehe
UK Na America kwa uelewa wangu ndo Kati ya nchi ambazo Ni ngumu kuingia, but zipo nchi ambazo mpaka zimekaribisha wahamiaji Kama Germany Na Serikali inasema wazi unataka nguvu kazi, ukitembelea Website ya Canada wameweka wazi kuwa kwa mwaka huu wana mpango wa kupokea wageni zaidi ya 300,000 Kama sijakosea ila Tu kwa mujibu wa sheria, pia wenye professional wanazotaka wanawapa vipaumbele, tatizo la nchi hii hakuna hata forums special ambapo Watanzania wangepata msaada namna ya kwenda abroad, tofauti Kama Nigeria, niliwahi kuweka post hapa nikihitaji usaidizi kupata Canadian visa, mdau mmoja akani direct Naija.com, kule nilikuta watu wanavyo fight kuondoka, walio abroad wanawasaidia wenzao kwa ushauri mbalimbali namna ya kuondoka, Kama lengo lako kwenda Abroad first chagua nchi ya kwenda, then tembelea Expat forums mbalimbali za nchi unayotaka kwenda, huko utakutana Na ushauri utakutana Na wadau waliofanikiwa kuondoka, ama wenzio Kama wewe ama raia Na wapo very social, ukweli Ni kuwa Kama unataka kwenda lets say UK inabidi uwe Na zaidi ya $10,000 bank, wengi hatuna hiyo pesa labda tunaweza kuwa Na $6,000, hapa ndo unapohitaji Invitation letter, barua ya Mwajiri n.k, but Kama hivyo huna then tafuta connection hasa nje!
Hahaha abeg tell me na....how was she making it ??Kuna dada mmoja kutoka Nigeria alikwenda kufanya masters London, alipeleka watoto wote, masters, anakwambia ' my sister abeg, education here is free why should I pay money for children school fees in Africa?'
Hahaha abeg tell me na....how was she making it ??
Yan mi niliwashindwa wale watu unakuta student visa inalimit work hours 20 hours weekly during term time. Ila wao wanapiga night shifts daily.
Watu wanapiga kazi usiku na mchana class kama kawa....inahitaji roho moja kutu sanaa kuishi life hilo....after all class sio full day so wanapata time ku rest. Mpaka aje kuvaa joho kesha make hela kibao.
Ali refer course ki vp yan sijakupata hapo ?? Baada ya kufanya hivyo alibali kule kule mbele ??Dada alisoma, baada ya kama miezi mitano hivi aliomba time kurefer course kwasababu ya family issues, alipiga kazi na mume wake alikuwa anakuja kumjoin holidays, ile masters ilichukua miaka mitatu kumaliza. Wakati huo watoto wamesoma secondary wanaingia A-level.
Ali refer course ki vp yan sijakupata hapo ?? Baada ya kufanya hivyo alibali kule kule mbele ??
Wao wana manipulate circumstances ambazo mzungu akisema ambanie lazima wata collide na humanitarian acts. Aaaargh wa nigeria ni ma genius sanaa.
Na unakuta hao watoto wakikaa kule mpaka wamalize shule, waingie degree then masters..ni zaidi ya miaka 8.Oh yaah, aliwaambia anamatatizo anaomba muda ayamalize, ule muda akawa anapiga kazi, visa ilipokaribia kwisha akarudi shule, alipoenda kuongeza kweli ni mwanafunzi. Alijua akimaliza haraka itakula kwake na yeye shida yake watoto wapate British education.
Na unakuta hao watoto wakikaa kule mpaka wamalize shule, waingie degree then masters..ni zaidi ya miaka 8.
Automatically wakiomba uraia njia nyeupe. Hahahaha Daaah
Yah nafaham watalipa international fee nilimaanisha ukikaa kule for more than 8 years waweza omba uraia.Watoto hawawezi kwenda Uni kama wazazi hawana vibali unless walipe internationa fee.
Yah nafaham watalipa international fee nilimaanisha ukikaa kule for more than 8 years waweza omba uraia.
That is Correct.Kwakweli sifahamu sheria zao za uhamiaji kivile. Ninachojua sasa hivi ukiwa umeoa au umeolewa, unatakiwa uprovide evidence kuwa unakazi ya kukulipa £25,000 kwa mwakandiyo umlete mwenza. Huu ni mshahara wa graduate. Hawataki mizigo kabisa.
Aisee mi nilipita tu nikashikwa na kihoro maana hata bongo kwenyewe hupiti bila finger prints. NA Faida yake NINI baada Ya hapo anarudi then anakupa pass nawe unasepa au ?Sasa mkuu,hawaangali fingerprints?na siku ikiisha nikienda ku renew si itakua mtihani mkuu,au?
Hata tukiwa nayo hatuna roho Ya kusaidiana. Wabongo ki ukweli tuna roho fulani kila mmoja anajitahidi mwingine alifarikiwe. Nigerians wapo wengi wanasaidiana sana . Zimbabwe wa kumwaga wanapeana deal mno. Watz ni kuasemana na majungu . Hiyo spirit sijui kama itatuisha.Kuna elimu flani ya kimaisha kama tume i mis vile.
In short wabongo ni wachoyo, wabinafsi na roho za kwanini sanaa. Mimi nlivyokua huko kuna wabongo nilikua nao nimewasoma sanaa na kuwa judge kwa makini aisee hapana hawafai kabisaaa, kati ya wabongo 10 wawili au watatu ndio wako loyal na kuna baadhi hawataki hata kujulikana ni wabongo kule.Hata tukiwa nayo hatuna roho Ya kusaidiana. Wabongo ki ukweli tuna roho fulani kila mmoja anajitahidi mwingine alifarikiwe. Nigerians wapo wengi wanasaidiana sana . Zimbabwe wa kumwaga wanapeana deal mno. Watz ni kuasemana na majungu . Hiyo spirit sijui kama itatuisha.
Consider going to Finland hakuna ada chuoni ila lazima uonyeshe uwezo wa kujikimu maana kule hawana wakuu wa mikoa design ya MakondaInabidi niwe na invitation letter kutoka chuo husika?na vp bank statement kama mwanafunzi inahitajika iwe na at least kiasi gani?