Jinsi ya kupata pesa na online survey

Jinsi ya kupata pesa na online survey

Hiyo ni mifano tu nilikutajia we tafuta skills ulizo nazo ukaziapply kule... voice over ni kuweka sauti labda movie ya yesu au zile za kihindi jinsi wanavyo weka sauti wazungumzaji wanaonekana wanazungumza kiswahili
Sites ambazo ni legit katika mambo ya freelance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • j.PNG
    j.PNG
    4.4 KB · Views: 61
Mwizi kuwa na rule moja hutoi ela yoyote kwa ajili ya kazi hakuna kutoa money in advance always keep that in mind
 
Huyo upwork na fiverr wanahitaji vitu vingi sana katika usajili

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo tatizo linapoanzia, kama kujisajili tu unaona uvivu kwamba wanahitaji vitu vingi hizo kazi je utazfanya? Usidhani kuna ela ya bure utaenda ufanye kazi kidogo tu upewe dollar 100... Unaifanyia kazi haswaa siyo ela ya bure bure tu
 
Nimemaanisha wanahitaji vitu vingi kuliko hata freelance ambavyo kimsingi watz wengi hawana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo tatizo linapoanzia, kama kujisajili tu unaona uvivu kwamba wanahitaji vitu vingi hizo kazi je utazfanya? Usidhani kuna ela ya bure utaenda ufanye kazi kidogo tu upewe dollar 100... Unaifanyia kazi haswaa siyo ela ya bure bure tu
Naomba uwe mentor wangu mkuu
 
Back
Top Bottom