Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 7,385
- 12,063
Habari wana JF,
Kuna jambo ningependa kupata ufafanuzi hapa jukwaani, kwavile kuna watu wana uelewa mpana wa hili swala nnalotaka kuuliza,
Kwa mtu ambaye ameweka hela zake UTT mifuko ya Liquid na bond, ni kwa namna gani ataweza kupata mkopo, na UTT ikasimama kama dhamana ya huyo mtu kupata mkopo,
Kwa upande wangu kuna fedha nimezihifadhi kwa muda huko UTT kwenye mfuko wa Liquid na bond, sasa nataka nisizitoe ila zitumike kama dhamana ya mimi kupata mkopo kupitia Bank za Nmb,crdb au NBC, naomba mwenye uzoefu na hili anipe mwanga kidogo
Asanteni sana