Jinsi ya kupata mchumba vyuo kama CBE and IFM

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,411
2,138
Nipo hapa mitaa ya CBE nimesimama ninaona wasichana warembo wakipita na nina watamani sana, siwezi msimamisha mbele ya watu wengi ila kuongea naye naweza….Je, njia gani nzuri wakuu wa mambo bila kuaibika maana sipendi aibu au kama kuna njia nyingine tupeni hapa.

Mrejesho : Nimepata number ya mmoja wao sio mbaya,naelekea home sasa
 
CBE Wapi?

Dar Es Salaam

Dodoma
Mwanza

Mbeya
Toa Maelezo Ueleweke
 
Nipo hapa mitaa ya cbe nimesimama ninaona wasichana warembo wakipita na nina watamani sana,siwezi msimamisha mbele ya watu wengi ila kuongea naye naweza….Je njia gani nzuri wakuu wa mambo bila kuaibika maana sipendi aibu au kama kuna njia nyingine tupeni hapa
Piga pamba safi kawaida tu afu jipulizie perfume nzuriii, omba IST au kagari gari then pita hapo utanishukuru 😅😅😅😅😅😅😅
 
Nipo hapa mitaa ya cbe nimesimama ninaona wasichana warembo wakipita na nina watamani sana,siwezi msimamisha mbele ya watu wengi ila kuongea naye naweza….Je njia gani nzuri wakuu wa mambo bila kuaibika maana sipendi aibu au kama kuna njia nyingine tupeni hapa
Una ndinga au unapekua kama kuku? Wale watoto wanapenda ndinga kali...wanapenda show off utafikiri wamezaliwa kiwanda cha Jeep
 
Halafu wanafunzi kazi yao ni kusoma, acheni binti za watu wasome, na kama mahusiano wafanye na watu wa rika lao la uanafunzi, watu wazima na tulio uraiani tuache kuharibia maisha binti za watu jamani
 
Back
Top Bottom