Jinsi ya kupandisha Status yako

NO.1 inatakiwa kuwa ,Ishi maisha ya kumpendeza Mungu then endelea na hayo mengine...
 
No 6 nakataa
No 10 Yessss
 
The desire for more positive experience is itself a negative experience.
Mark Manson
Ushaelewa?

Watu wa Ulaya walipanga nchi zenye watu wenye furaha, wakakuta Thailand ni nchi ambayo ina watu wenye furaha sana, licha ya kutokuwa na maendeleo kama nchi nyingi za Ulaya.

Wakajiuliza kwa nini?

Wakakuta moja ya sababu ni kwamba watu wa Thailand hawako obsessed kwenye kutafuta furaha kama wanavyofanya watu wa Ulaya.
 
10. Kwanini uwe na hofu ya Mungu?! Mungu mpende kama yupo, na unapaswa uwe na hofu ya SHETANI sio MUNGU.
 
Kufuatilia mtu anaweka nini kwenye status na kumjudge kutokana na hizo status ni ushamba pia. Ishi maisha yako mkuu vile unaona sawa. And hatufanani duniani, kila mtu na mtazamo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…