fungua web inaitwa xomaci wakati unaplay YouTube video unacopy link unaenda kuipaste kwenye xomaci pasting space then unadownload. Iko clear Sana
Na kwenye PC wakuu naweza tumia application gani ku download
You tube down loader (YTD) unainunua tu ni dola kidgo tu mtandaoniNa kwenye PC wakuu naweza tumia application gani ku download
HII NIMEIPENDA CHIEF VERY SIMPLE AND FASTHuitaji app yoyote, fanya hivi fungua content unayotaka kudownload huko youtube... click sehemu ya kushare...copy link...nenda kwenye browser iwe chrome au google....andika kwenye searchbox maneno haya 'savefrom.net'..... itafunguka kisha utapaste ile link kwenye hiyo browser mpya ya savefrom, itasearch na kwa pembeni kutatokea opt ya kuchagua ukubwa wa format,.... ukishafanya uchaguzi click download na itaanza kupakua kwenda kwenye kumbukumbu zako za simu.
Fuata haya maelekezo ya ndugu SALOK ni fast and very simpleNa kwenye PC wakuu naweza tumia application gani ku download
Huitaji app yoyote, fanya hivi fungua content unayotaka kudownload huko youtube... click sehemu ya kushare...copy link...nenda kwenye browser iwe chrome au google....andika kwenye searchbox maneno haya 'savefrom.net'..... itafunguka kisha utapaste ile link kwenye hiyo browser mpya ya savefrom, itasearch na kwa pembeni kutatokea opt ya kuchagua ukubwa wa format,.... ukishafanya uchaguzi click download na itaanza kupakua kwenda kwenye kumbukumbu zako za simu.
Nenda kwenye browser unayotumia then click hiyo video unayataka kuplay!Vide oder mbona jwangu mm ingoma kwenye sim na pc kote inagoma...nikitaka kudowload inaniambia video oder imefungiwa kudowlowd kutoka you tube
Vidmate na videoder ipi kaliWale 2naotumia vidimate aka chuma ulete gb1 inaisha chap chap 2comment wap