mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,144
Hahah kwanini mkuu.Nakumbuka nishawahi Fanya huu ujinga nilikosa amani ndani ya mwaka mmoja pumbavu
Silence is better
dodge
Hahah kwanini mkuu.Nakumbuka nishawahi Fanya huu ujinga nilikosa amani ndani ya mwaka mmoja pumbavu
Silence is better
Magame ya kumod yote mafile yao huwa yanaenda wekwa kwenye Android>obb sasa futa file la android eti hilo file la game liache lihang uone!!..hiyo itakusaidia kama unaona unahitaji nasafi, mfano huna nafasi na hakuna kitu cha muhimu, unaweza fanya hivyo, haina madhara yoyote. Lakini km unakitu cha muhimu unaweza acha, pia siku hizi games zinakuja na file lake yenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio simu ina nini ndani?Mi mbona nafutaga tena kweny xm aina tofauti tofaut na sijawahi ona tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio simu ina nini ndani?
DCIM ndani kunakaa picha na video unazopiga na simu. Kikawaida ndio vinakula sana space hasa kama camera yako ina megapixel nyingi na ukifuta ndio camera inalitengeneza upya ili ihifadhi vitu vyengine utakavyopiga.Kuna hili folder limeandikwa DCIM linakula space kubwa wakati utakuta ndani yake umetoa files zote zilizomo.
Na pia hata ukili-delete unashangaa baadae limerudi tena, hebu weka neno kidogo kuhusiana na hilo folder mkuu...!
DCIM ndani kunakaa picha na video unazopiga na simu. Kikawaida ndio vinakula sana space hasa kama camera yako ina megapixel nyingi na ukifuta ndio camera inalitengeneza upya ili ihifadhi vitu vyengine utakavyopiga.
Inawezekana kuna hiden folder mkuu. Download file manager yoyote kama solid explorer ama es file exploer kisha nenda kwenye menu ya hio file manager enable see hidden files kisha rudi kwenye dcim utaona yaliyojifichaMkuu, ndani ya hilo folder kunakuwa na files ikiwema file la camera, huwa navihamisha kwenye memory card then folder linakuwa tupu, lakini ukiangalia details za folder unakuta bado lina MB nyingi tu wakati files zote nimezihamisha kwenye SD sasa kinachofanya liwe na MB nyingi as if kuna kitu ndani yake ni nini ilhali files zote nimeshazihamisha kwenye memory kiongozi...?
Thanks a lot.
Inawezekana kuna hiden folder mkuu. Download file manager yoyote kama solid explorer ama es file exploer kisha nenda kwenye menu ya hio file manager enable see hidden files kisha rudi kwenye dcim utaona yaliyojificha
Je, unafahamu kuwa kila unapotumia smartphone yako (Android) kuna file linajitengeneza lenyewe linaitea android?
File hili linaweza kubeba takataka zote na kujikuta limechukua nafasi hata MB 500 au 1GB n.k kulingana na device yako. Lakini pia kuna file la WhatsApp, hapa pia kama unahitaji kuback up, back up kupitia app yenyewe kwenda kwenye google email yako.
Kwenye file folder la WhatsApp kuna file la backup na database ambayo nayo hujitengeneza yenyewe, haya mafile yanaweza kuchukua nafasi.
Cha kufanya:
Ingia kwenye file manager, tap phone storage, kisha chagua android, futa hilo file.
Baada ya hapo, shuka chini kabisa mpaka kwenye folder/file la Whatspp, tap kisha futa database na backup file, na uliache media file/folder.
Hapo hapo, ingia kwenye media, chagua document au voice note, au audio, video au images, tazama ulichokituma kama kina umuhimu kubako au kama hakuna umuhimu futa. Tazama ulizptumiwa, kama zina umuhimu kubaki au kama hakuna basi futa.
Siku hizi kuna improvement, kuna file manager zingine hukupa kabisa taarifa zote na kitu kinachokula nafasi kwenye simu yako, hivyo file manager automatically itapendekeza uyafute hayo mafile.
Lakini hiyo njia niliyotoa ni manually.
Kama una cha kuongezea, maoni au chochote basi weka. Najua lakini sijui zaidi, tupe yako sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine tunachanganyikiwa kabisa! Hatujui tushike lipi!hapana aisee ndani ya folder la android kuna data na obb za apps akifuta hilo apps zote data zake zinafutika ni majanga