Jinsi ya kuongeza settlite kwenye decoder ya Zuku

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,419
Nina Zuku decoder kwa kweli wanabore sana kuna option ya settlite moja na tunajua kuna setrlite nyingi zenye free to air channels,msaada tafadhali
 
ktk dikoda ya zuku wewe funga dish lako kisha fanya auto search chanel husika zikaingia bila tatizo na utaachana na malipo ya akina ving'amuzi. kwa dstv pia inawezekana kabisa ukaitumia kama fta decoda
Zuku kumbe inakubali FTA hivi fullset ni tsh ngapi?
 
Kiongozi fafanua kidogo, unafunga dish lingine tofauti na lile la dstv au?

Back
Top Bottom