nimesoma na bahati nzuri na tafsiri yake ila nakuomba masuala ya dini tusiingize hapaUmesoma sura ya "mdudu chungu"..
asanteLiongo hilo.
Mkuu nenda kacheze jackpot ya Sportpesa ina 1B😁😂😂😂 namwambia anisukie mkeka wa 1B na utusue wote ole wake uchanike
Kuvuta bange je au sigara??Atakayefanya hivyo awe katika hali ya usafi asiwe amekunywa pombe.
Noma sana!shida tunatofautiana, kama wewe unashida ya mali haimaanishi kila mtu anataka mali, kuna wenye mali wanaohitaji umaarufu, kuna wenye mali wanahitaji afya kuna wenye mali wanahitaji cheo , ndugu mali sio jambo kubwa na ni kwasababu hujabarikiwa mali ndio mana ukaniukiza kama wamenipa mali
Jiduuuuuuuuu[emoji38] mambo yako hayoUshirikina noma!
No return. Otherwise you dietunafundishana mambo ya hatari sana. Katika ulimwengu wa kiroho kuna sehemu ukiingia hakuna kurudi nyuma.
Pombe ni uchafu? Mbona sheikh kipoozeo anatuambia mbinguni kuna mito ya pombeAtakayefanya hivyo awe katika hali ya usafi asiwe amekunywa pombe.
Unakataa kilichotajwa kwenye msahafu kwa matakwa yako? Jini katajwa mle au hakutajwa. Suleyman AS alikuwa na jeshi hakuwa nalo?nimesoma na bahati nzuri na tafsiri yake ila nakuomba masuala ya dini tusiingize hapa
Hakushirikiana na mashetani kufanya hivyo. Bali yeye alikuwa ni katika mawalii wa Allah na ile ilikuwa ni katika Karama. Hakuwa walii wa shetani/kuhani/mchawi.nabii suleiman alitaka kumsuprize malkia bilqis kwa kukileta kiti chake cha umalkia wakati amefika, akauliza serikali yake nabii suleiman je nani ataweza kukileta kiti kwa haraka ?, akasimama jini moja akamwambia ewe mkuu mm ninauwezo wa kukileta kiti kwa kiasi cha muda wa wewe kuketi kwenye kiti kutoka hapo uliposimama, akauliza babii suleiman je hakuna anaeweza kukileta haraka zaidi? akasimama huyo Jamaa ninaekutajia anaitwa Asib ibn barkiya ambae inasemekana ni binam yake mtu ila kwenye qur an ametajwa kua ni ahl lkitabu ndio akasema mimi ninaouwezo wa kukileta hiko kiti kwa kiasi cha wewe kupepesa macho tu, nabii suleiman akamwambia sawa nimekupa wewe hilo agizo la kukileta kiti na akakileta. point yangu asif ibn barqira ametajwa kwwnyw qur an kua ni ahl kitabu na je alikua na uwezo upi ukifanya akakileta kiti hiko, na wewe unavyofikiria uwezo wa kutoa kiti cha mfalme kutoka hapo kenya tu mpaka hapa kwetu Tanzania kwa kupepesa macho ni elimu gani hio?
Mapenzi ya nn? Tupe code ya kupata utajiri kupitia hao viumbe maana kama ni pesa na wapenzi tayari tunavyoHabari zenu wana JF,
Nimekua nikiulizwa mswali mengi kutoka kwa wadau mbalimbali jinsi ya kuwasiliana na majini ili waweze kukupatia msaada.
Kiukweli majini wanaweza kuwasiliana na wewe kwa njia mbali mbali ila njia ambayo huitumia sana ni kwenye ndoto na ndio maana unapoota ndoto ni lazima kuzipatia maana na yawezekana ikawa kuna majini wanawasiliana na wewe na wanakupa ishara.
Pia zipo njia ambazo unaweza kuongea na majini ana kwa ana kama unavyoongea na binaadamu wenzio na hii ndio point ambayo nitawasaidia muweze kuongea nao.
Kabla yakuongea na jini inakupasa kuzingatia ni msaada gani unataka mana kila jini ana uwezo wake na sio kwamba kila jini anauwezo wa kutatua kila shida.
Leo nitawaeleza namna ya kumuita jini atakaeweza kukusaidia katika masuala ya mapenzi , hawa ni majini ambao siku yao ni Jmapili na muda wao mzuri ni saa moja asubuhi.
Jini huyu huitwa kwanza kisha atakuonesha ishara kua tayari amekuja na ataongea na wewe.
Kila jumapili saa moja asubuhi, chukua udi wa ambar na sandal ubani na aluudi unayoipenda kisha ujipake na na ufukize udi na uwe katika sehemu ya faragha na uuite majina haya "al madh hab" unaita" ewe al madh hab" ita mara 7 kisha sema nakuita nakuomba uongeena mimi haitafika zaidi ya majuma matatu akawa hajafika
Kabla ya kujitokeza jini atakuonesha kwa ishara mfano moshi, harufu nzuri, utasikia mtu anaimba , njiwa mweupe, jogoo kuwika bila kupumzika na mengine yanayofanna na wewe.
Unaweza kusikia sauti tu unaongea nae au atajitokeza kwa umbo lolote ila hawezi kuja kwa umbo lake mana ni la kutisha.
Baada ya hapo utamueleza kua nampenda fulani bin fulani nisaidoe au naomba kupata mpenzi niwe na mvuto na mengineyo yeye atakwambia fanya hv na hv kisha mtaelewana.
Tahadhari majiji ni viumbe ambao wanahasira sanna na hawapendi mzaha.
wewe jamaa mbona unajitekwnya kisha unacheka? nioneshe swhemu niliokataa kilichoandikwa ndani ya mas haf,Unakataa kilichotajwa kwenye msahafu kwa matakwa yako? Jini katajwa mle au hakutajwa. Suleyman AS alikuwa na jeshi hakuwa nalo?
utapata inshaallahMapenzi ya nn? Tupe code ya kupata utajiri kupitia hao viumbe maana kama ni pesa na wapenzi tayari tunavyo
qur an haikumtaja kama walii ila ilimtaja kama ahlu lkitabu nakuuliza kitabu gani?
je nabii suleiman hakufanya kazi na majini?
Kwanza haujibu maswali yangu. Pili, unaweza kunionesha katika Qur'an kuwa ametajwa kuwa yeye ni katika "Ahlul Kitab"?qur an haikumtaja kama walii ila ilimtaja kama ahlu lkitabu nakuuliza kitabu gani?
Huyo ni wale wanaotafsiri watakwavyo na sio ilivyo...Kwanza haujibu maswali yangu. Pili, unaweza kunionesha katika Qur'an kuwa ametajwa kuwa yeye ni katika "Ahlul Kitab"?