Jinsi ya kuongea na majini ili wakusaidie

Habari zenu wana JF,

Nimekua nikiulizwa mswali mengi kutoka kwa wadau mbalimbali jinsi ya kuwasiliana na majini ili waweze kukupatia msaada.

Kiukweli majini wanaweza kuwasiliana na wewe kwa njia mbali mbali ila njia ambayo huitumia sana ni kwenye ndoto na ndio maana unapoota ndoto ni lazima kuzipatia maana na yawezekana ikawa kuna majini wanawasiliana na wewe na wanakupa ishara.

Pia zipo njia ambazo unaweza kuongea na majini ana kwa ana kama unavyoongea na binaadamu wenzio na hii ndio point ambayo nitawasaidia muweze kuongea nao.

Kabla yakuongea na jini inakupasa kuzingatia ni msaada gani unataka mana kila jini ana uwezo wake na sio kwamba kila jini anauwezo wa kutatua kila shida.

Leo nitawaeleza namna ya kumuita jini atakaeweza kukusaidia katika masuala ya mapenzi , hawa ni majini ambao siku yao ni Jmapili na muda wao mzuri ni saa moja asubuhi.

Jini huyu huitwa kwanza kisha atakuonesha ishara kua tayari amekuja na ataongea na wewe.

Kila jumapili saa moja asubuhi, chukua udi wa ambar na sandal ubani na aluudi unayoipenda kisha ujipake na na ufukize udi na uwe katika sehemu ya faragha na uuite majina haya "al madh hab" unaita" ewe al madh hab" ita mara 7 kisha sema nakuita nakuomba uongeena mimi haitafika zaidi ya majuma matatu akawa hajafika

Kabla ya kujitokeza jini atakuonesha kwa ishara mfano moshi, harufu nzuri, utasikia mtu anaimba , njiwa mweupe, jogoo kuwika bila kupumzika na mengine yanayofanna na wewe.

Unaweza kusikia sauti tu unaongea nae au atajitokeza kwa umbo lolote ila hawezi kuja kwa umbo lake mana ni la kutisha.

Baada ya hapo utamueleza kua nampenda fulani bin fulani nisaidoe au naomba kupata mpenzi niwe na mvuto na mengineyo yeye atakwambia fanya hv na hv kisha mtaelewana.

Tahadhari majiji ni viumbe ambao wanahasira sanna na hawapendi mzaha.
Ushirikina noma!
 
Hii dhana et kuna majini mema ndo inayouponza upande huo wa dini kuonekana ni watu wa shiriki na ukweli ndo huo watu wengi wakibobea mafundisho ya dini hiyo wanakuwa waganga kusaidia watu kwa style hzo za majini n.k

Naupenda msimamo wa kikristo kwamba majini ni malaika waovu waliotupwa pamoja na Shetani. Kwa tafsiri hiyo hakuna shetani/jini mwema yote hayo ni mapepo yanayosubiri moto wa milele. Kushirikiana nayo kwa namna yoyote ni kushirikiana na Shetani.
 
Unataka kusema nini? Kwamba 'Asif ibn Barkhiya alikuwa anatumia majini? Hoja yako iko wapi? Mbona ulichokiandika hapa hakihusiani na "kufuga" au kuingia mikataba na majini.
nabii suleiman alitaka kumsuprize malkia bilqis kwa kukileta kiti chake cha umalkia wakati amefika, akauliza serikali yake nabii suleiman je nani ataweza kukileta kiti kwa haraka ?, akasimama jini moja akamwambia ewe mkuu mm ninauwezo wa kukileta kiti kwa kiasi cha muda wa wewe kuketi kwenye kiti kutoka hapo uliposimama, akauliza babii suleiman je hakuna anaeweza kukileta haraka zaidi? akasimama huyo Jamaa ninaekutajia anaitwa Asib ibn barkiya ambae inasemekana ni binam yake mtu ila kwenye qur an ametajwa kua ni ahl lkitabu ndio akasema mimi ninaouwezo wa kukileta hiko kiti kwa kiasi cha wewe kupepesa macho tu, nabii suleiman akamwambia sawa nimekupa wewe hilo agizo la kukileta kiti na akakileta. point yangu asif ibn barqira ametajwa kwwnyw qur an kua ni ahl kitabu na je alikua na uwezo upi ukifanya akakileta kiti hiko, na wewe unavyofikiria uwezo wa kutoa kiti cha mfalme kutoka hapo kenya tu mpaka hapa kwetu Tanzania kwa kupepesa macho ni elimu gani hio?
 
Habari zenu wana JF,

Nimekua nikiulizwa mswali mengi kutoka kwa wadau mbalimbali jinsi ya kuwasiliana na majini ili waweze kukupatia msaada.

Kiukweli majini wanaweza kuwasiliana na wewe kwa njia mbali mbali ila njia ambayo huitumia sana ni kwenye ndoto na ndio maana unapoota ndoto ni lazima kuzipatia maana na yawezekana ikawa kuna majini wanawasiliana na wewe na wanakupa ishara.

Pia zipo njia ambazo unaweza kuongea na majini ana kwa ana kama unavyoongea na binaadamu wenzio na hii ndio point ambayo nitawasaidia muweze kuongea nao.

Kabla yakuongea na jini inakupasa kuzingatia ni msaada gani unataka mana kila jini ana uwezo wake na sio kwamba kila jini anauwezo wa kutatua kila shida.

Leo nitawaeleza namna ya kumuita jini atakaeweza kukusaidia katika masuala ya mapenzi , hawa ni majini ambao siku yao ni Jmapili na muda wao mzuri ni saa moja asubuhi.

Jini huyu huitwa kwanza kisha atakuonesha ishara kua tayari amekuja na ataongea na wewe.

Kila jumapili saa moja asubuhi, chukua udi wa ambar na sandal ubani na aluudi unayoipenda kisha ujipake na na ufukize udi na uwe katika sehemu ya faragha na uuite majina haya "al madh hab" unaita" ewe al madh hab" ita mara 7 kisha sema nakuita nakuomba uongeena mimi haitafika zaidi ya majuma matatu akawa hajafika

Kabla ya kujitokeza jini atakuonesha kwa ishara mfano moshi, harufu nzuri, utasikia mtu anaimba , njiwa mweupe, jogoo kuwika bila kupumzika na mengine yanayofanna na wewe.

Unaweza kusikia sauti tu unaongea nae au atajitokeza kwa umbo lolote ila hawezi kuja kwa umbo lake mana ni la kutisha.

Baada ya hapo utamueleza kua nampenda fulani bin fulani nisaidoe au naomba kupata mpenzi niwe na mvuto na mengineyo yeye atakwambia fanya hv na hv kisha mtaelewana.

Tahadhari majiji ni viumbe ambao wanahasira sanna na hawapendi mzaha.
wewe waliwai kukusaidia nini? labda kwenye upnda wa mali unamiliki nini
 
shida tunatofautiana, kama wewe unashida ya mali haimaanishi kila mtu anataka mali, kuna wenye mali wanaohitaji umaarufu, kuna wenye mali wanahitaji afya kuna wenye mali wanahitaji cheo , ndugu mali sio jambo kubwa na ni kwasababu hujabarikiwa mali ndio mana ukaniukiza kama wamenipa mali
 
Udi sandal upo, ubani mashtaka, ubani zuhra na ubani makka. Huyu mtaalamu alitaka kuniitia Jini gani
 
Hii dhana et kuna majini mema ndo inayouponza upande huo wa dini kuonekana ni watu wa shiriki na ukweli ndo huo watu wengi wakibobea mafundisho ya dini hiyo wanakuwa waganga kusaidia watu kwa style hzo za majini n.k

Naupenda msimamo wa kikristo kwamba majini ni malaika waovu waliotupwa pamoja na Shetani. Kwa tafsiri hiyo hakuna shetani/jini mwema yote hayo ni mapepo yanayosubiri moto wa milele. Kushirikiana nayo kwa namna yoyote ni kushirikiana na Shetani.
Huo ni msimamo wako, wasio na dini wana wao., kila mtu anapaswa kuamini anavyojua, JAPO KUNA UKWELI MAHALI.
 
Back
Top Bottom