yeah nina experience ila huwa hawa ship africa.......huwa wanaship europe na sehemu zingine maana wakituma vitu huko postal wanaiba...na pia ukitaka kununua kitu kutoka ebay lazima account details za bank ziwe verified by paypal...kama una mtu huku mwambie akunuunulie hicho kitu then atume kwenye adress yake then akutumie huko kwa kutumia dhl au kampuni yoyote lakini asisubutu kutumia royal mail maana vitu vitafikia hapo bongo mikononi mwa watu na watavichukua....
Habari wanajamvi.
Napenda kujua ni jinsi gani naweza nunua vitu ebay maana nilijaribu kucheki nikaona kama hawa ship kuja huku. Nifanyaje,anyone with experience anisaidie plz.
Thanks.
Yah nadhani kama on visa card au card yoyote ya benki yenye huduma online, wewe jisajili Paypal ni bure kabisa. Kisha anza kusaka bidhaa. Lakini kama walivyosema hapo juu, kutuma kwenda nchi za Kiafrika ni uchaguzi wa muuzaji. Lakini kumbuka kuwa ikitua Bongo lazima ulipe kodi.Voiceofreason nakushukuru sanaaaa kwa mawazo yako and yo effort. Umenitoa tongotongo machoni mwangu. Nitacheki hii kitu maana nataka niwe nanunua vitu as they are very cheap ebay.
Thanks once again mkuu.
Ni kweli things are very cheap lakini shipment itakuwa expensive. Nakushauri utafute shipping company ya huko (kuna watu wanafanya consolidation) yaani ukiwa unanunua vitu uwaambie wavipost kwake mpaka mzigo ukifika mkubwa kidogo akutumie kwa mara moja hiyo itasaidia kuliko kutuma kila kitu kimoja kimoja ambapo mwisho wa siku gharama itakuwa kubwa..... na hii itaondoa tatizo la watu kuship Africa sababu watakuwa wanaship UK...nataka niwe nanunua vitu as they are very cheap ebay.
Thanks once again mkuu.
Muda mrefu nimekuwa nikifikiria kufungua duka dar! la kuwasaidia wadau kununua na kuuza vitu kwenye Ebay!! Nina account ya Ebay UK na nafahamiana na watu wanaoleta mizigo bongo!! so Mdau kama unataka naweza kukusaidia ila nitaweka commision ya 25%; usafiri + ushuru juu yako!!
Sio Kweli kwamba Ebay hawaship vitu kuja Africa....... Ebay ni market platform ambapo kila muuzaji na mnunuzi wanakutana (Ebay hakuna kitu wanachokiuza, bali huwa wanachukuwa pesa za muuzaji anapoweka matangazo) sasa ni kwamba watu wengi wanadhani kwamba Africa kuna matapeli ila hii sio sababu sana kwani ukilipa before hand mzigo wako utakuwa shipped (ni personal preference ya mtu kuamua kama ataship Africa au la)
Na kila mtu akinunua au akiuza anapata members feedback kwahiyo feedback points zako zinapokuwa kubwa unazidi kuwa credible.... Therefore as time goes on na ukafanya biashara sana watu wengi wataweza kufanya biashara na wewe
Malipo ya Ebay huwa yanatumia Paypal (payment through email ) na kwa Tanzania ipo kwenye Paypal lakini unaweza kutuma pesa na sio kupokea (in your case no problem) kwahiyo jiunge paypal... na unaweza ukatuma funds through your bank to paypal (ambapo mara nyingi through verification you need to go through some steps lakini inawezekana www.paypal.com/worldwide
Muda mrefu nimekuwa nikifikiria kufungua duka dar! la kuwasaidia wadau kununua na kuuza vitu kwenye Ebay!! Nina account ya Ebay UK na nafahamiana na watu wanaoleta mizigo bongo!! so Mdau kama unataka naweza kukusaidia ila nitaweka commision ya 25%; usafiri + ushuru juu yako!!
unalambwa 50 us dola, tehe tehe, good business, jamaa rinataka kura kirainiiiiiiiiiiiiiiiPAPA DIANA ACHA BANA. MFANO MI NIKITATAKA KITU CHA 200 us dola je?
unalambwa 50 us dola, tehe tehe, good business, jamaa rinataka kura kirainiiiiiiiiiiiiiii
Habari wanajamvi.
Napenda kujua ni jinsi gani naweza nunua vitu ebay maana nilijaribu kucheki nikaona kama hawa ship kuja huku. Nifanyaje,anyone with experience anisaidie plz.
Thanks.
Mambo vipi mkuu.Have you heard of eCRATER.COM?...watu sikuhizi wanaachana na ebay na kuingia ecrater.eCRATER is winning customers trust than eBAY.It's growing very fast and there are many sellers who sell worldwide.Kuna wauzaji wengi wanaship Tanzania and the rest of the world.It's very simple to buy from eCRATER all you need is paypal,google checkout account or a Credit Card...In Tanzania you will need to have a credit card or paypal account google checkout is not your option just yet.Habari wanajamvi.
Napenda kujua ni jinsi gani naweza nunua vitu ebay maana nilijaribu kucheki nikaona kama hawa ship kuja huku. Nifanyaje,anyone with experience anisaidie plz.
Thanks.
Muda mrefu nimekuwa nikifikiria kufungua duka dar! la kuwasaidia wadau kununua na kuuza vitu kwenye Ebay!! Nina account ya Ebay UK na nafahamiana na watu wanaoleta mizigo bongo!! so Mdau kama unataka naweza kukusaidia ila nitaweka commision ya 25%; usafiri + ushuru juu yako!!
Mkubwa nakubali nimesema kwamba hawaship africa u know why mkuu??Sikutaka kusema kwamba wanaship...Mfano wewe ingia Ebay alafu uliza kila mtu anayeuza kitu karibia seller 98% wanasema kwamba hawaship abroad so hiyo 2% ndio maana nikasema kwamba hawaship africa..Hope umenielewa hapo mkuu!
Ndio maana nikasema kama anamtu wa huku ajaribu kumuomba amnunulie then amtumie huko!!
naona wewe ume-experience tofauti sana. Mimi mpaka sasa nina electronic devices kama laptops, simu, cameras, memory cards, etc nimenunua kwa sellers tofauti-tofauti sana. Kwa ku-conclude ni kuwa upande wa electronic devices jamaa wengi wanaship hadi tz vizuri tu. Labda upande wa items zingine.
Aisee mbona unaonyesha kuwa process ni ndefu hivyo. Wengine hapa tuna muda mrefu na tulijisajili kwa kuregister tu online. Kwa wanaonunua hakuna charge na kwa wanaouza huwa kuna comission na kuna njia ya kufanya comission iwe ndogo. Site nyingine ambayo popular ni amazon. kwa wale wanaozungumzia ebay inawezekana wanashindwa kuelewana kutokana na nchi wanazofanya nazo biashara. Kuna ebay zenye listing popular based on specific country. Km uk, ebay.co.uk, marekani .com India etc.Kwa kuongezea tu, ni kwamba ni lazima kwanza uwe registered na ebay (kwa hii nchi ninayoishi sasa sijui nchi nyingine) ukisha kuwa registered wanakutumia barua ikiwa na password yako na baada ya hapo unaweza kuuza au kununua kitu chochote katika ebay. (ingawaje kama walivyosema hapo juu kuwa wauuzaji wengi hawatumi vitu Africa) Pia kumbuka katika ebay kuna matapeli na kuna vitu fake vingi tu, ingawaje kama ukitapeliwa ebay wanakurudishia kiasi fulani cha pesa, na kama umelipa kwa paypal wanakurudishia kiasi chote lakini hii process inatake time sana! kwa hiyo be careful. Mimi ni mnunuzi na muuzaji mzuri tu katika ebay na yote hayo nimeishakumbana nayo.
Alinda
Aisee mbona unaonyesha kuwa process ni ndefu hivyo. Wengine hapa tuna muda mrefu na tulijisajili kwa kuregister tu online. Kwa wanaonunua hakuna charge na kwa wanaouza huwa kuna comission na kuna njia ya kufanya comission iwe ndogo. Site nyingine ambayo popular ni amazon. kwa wale wanaozungumzia ebay inawezekana wanashindwa kuelewana kutokana na nchi wanazofanya nazo biashara. Kuna ebay zenye listing popular based on specific country. Km uk, ebay.co.uk, marekani .com India etc.