Jinsi ya kung'oa kisiki cha tukapime kwanza

Jinsi ya kung'oa kisiki cha tukapime kwanza

Kuna haka ka mchezo ka wanawake, eti ukimpiga mistari akaingia line basi anakuambia tukapime, wanaume wengi wamekuwa wakijikwaa wanapokutana na hiki kisiki.

Leo nitawafumbua jinsi ya kuking'oa kirahisi. Kiukweli kupima si jambo jepesi hata kama unajijua upo salama, maana vyanzo vya hili gonjwa ni vingi, watu wengi wameumia kwa kukimbilia tu kupima eti kwa kujiona hajawahi bugi, thubutu, wengi wa namna hii wanakufa mapema wakipewa majibu ambayo siyo.

Leo chukueni huu uzoefu, akikuambia tu tukapime hapo hapo mjini twende muda huu huu, onesha unahitaji sana, wengi wa wanaosemaga tukapime huwa wanabip tu maana mziki wa kupima wanaujua, ukionesha kukubali tena haraka huwa wanaridhika huyu jamaa yupo safi na anajiamini japo wakati mwingine nawe unakuwa na hofu, utashangaa anajibu leo siwezi tutapanga.

Akishajibu tu hivyo jua tayari ushang'oa mzizi.

Ukijifanya kubisha atajua hujiamini na haupo salama. Ikitokea kweli akaitikia wito wa kwenda basi jitahidi ukutane naye na ikiwezekana muanze safari halafu kama hujiamini basi ibua udhuru hapo katikati ili kuikwamisha hiyo safari kwa siku hiyo, halafu jitahidi kumsoma ni wakati gani ukimkomalia anakuwa hawezi kutoka, amini usiamini utashangaa keshalainika na kusahau safari za kupima na kukupa tunda, ila usiache kutumia Ndom tafadhari.

Wengi hata tukiwa salama ni waoga tu kupima na haimaanishi hatujiamini, unaweza ukaukwaa kwa sababu zingine nje ya kufanya mapenzi ambayo si salama.



Ndo maana mnakufa na kuua watu
 
cku ukipata ukimwi ndo utajua umuhimu wa kupima neno ningejua huja mwisho wa safari
 
acheni kumshambulia mleta mada its obviuos kupima ndio the best things yeye anaongelea kwa mazingira ya mtu unayetaka kupiga mzigo tu mambo ya kupima kwan mnajiandaa kua permanent si wakupiga chapa ilale!!

mkuu watu hawanaga muda wa kufikiria ni kukimbilia tu kujibu, kama utakubali huu mchezo utakuwa unapima mara ngapi wakati wewe huna malengo ya kuwekeza hapo? halafu kupima kunadumaza watu na kuacha kujikinga zaidi, maana unaweza ukapima leo ukawa negative wiki ijayo ukaambukizwa, sijui ndo itakuwa wanapima kila wakitaka kufanya, dawa hapa ni kutumia kinga tu mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom