Jinsi ya kumuona mchawi au mwizi anayekuja usiku ukiwa umelala

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,701
mifupa ya paka mweusi aliyekufa husaidia kumuona mchawi au mwizi anayekuja usiku ukiwa umelala

Ukitaka kumuona mchawi/mwizi akija kwako usiku wakati upo usingizini utachukua mifupa ya paka mweusi aliyekufa au kuuliwa bila wewe kujua kauliwa na nani

Kisha utaiweka katika pembe nne za nyumba au milangoni na madirishani basi akija mchawi au mwizi wakati ukiwa usingizini utamuona bila yeye kujua kuwa anaonekana na utamtambua

Pia wachawi humtumia sana paka wanapotaka kutuma jini kwa mtu.
Jini akitumwa kwa mtu hutumiwa zaidi paka au panya, mnyama au mdudu huyo huchunwa au hutolewa manyoya mkiani na kuchorwa majina ya ibilisi mkiani mwake kisha hutumwa kwa mtu fulani akamuingie

Basi utajikuta unaumwa umwa tu
bila kupona ukipima huonekani ugonjwa wa aina yoyote na ndoto zako nyingi zitakuwa ni kuota kushindwa kufanya jambo.mfano kama vile( kuota kuachwa na gari, kufeli mtihani,kurushiwa kitu na kushindwa kudaka) kuota sana upo darasani au shuleni na mpo mitihanin ila mwisho wa ndoto unaota wewe umefeli,ndoto hizi sio nzuri.

Mifupa yake wachawi huitumia kama kinga wakienda kuchawia huweka mifupa ya paka mdomoni basi akienda kuchawia popote hawezi kuonekana wala kudhurika kirahisi labda akutane na nguvu inayofanana nae au zaidi.

Jihadharini sana na ndoto za paka sio nzuri pia mara nyingi ukimuota paka huashiria ni mchawi huyo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Another Mshana Jr.!
 
Hizi mada zako zote boss unakopi kwenye blog inaitwa tibazetu.blogspot.com

Mwenyewe anajua lakini?

Sio poa hivyo mkuu
 
Kuipata sasa hiyo mifupa ya papa black ndiyo shuguli hahaha

Ova
 
Mtoa post ...ni jasiri sana

Ila
Amepitwa na wakati ....anaturudisha enzi za kina ...kinjekitile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom