KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Mkuu sio nyamafu ni kitu roho inapenda,mke yeye tayari kaishatimiziwa kila kitu,na mimi muhangaikaji natakiwa nijipongeze na mtoto mdogo aliye na mvuto wa kikweli kwa wakati huu,na huenda nikaamua kumuoa kabisa,sasa acha niendeleze zoezi.Uko tayari kutelekeza mkeo ukale nyamafu!!!