KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Heaven mrembo,utachambua mnavu na makorombwezo kwa pozi na hata ukiwa uchi,haisaidii,nimeshapata ki-portable sio mchezo ni hatareeee mrembo,baby haziishi,ni kila muda baby hiki,baby kile,na weekend ni lazima tutoke kwa ajili ya kwenda kula bata na kujipongeza kwa kazi na mafanikio,halafu oooh mme wangu nimekupikia mnavu wa Arusha na nyama choma,mtindi etc,etc,.,.ebooo ndio nini hiko?,mimi naenda na waubani date kaaaaalii,ni full oriental cuisine huku tunanyonya MOET mvinyo wa ukweli.haaaà pozi la kuchambua huo mnafu kazi kweli kweli