Jinsi ya kumtishia msichana wa kibongo.

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Unajua ukitaka kumtishia mschana wa kichina mwambie ana ugonjwa wa SARS.ukitaka kumtishia mschana wa kikenya muambie ana UKIMWI..mschana wa kiamerica utamshtua ukimwambia anaugua CANCER..na mwisho ukitaka kumtishia mschana wa kibongo....muambie huna HELAAA!!
 
Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
48,666
67,982
Hahahahaaaa halafu nikishamtisha inakuaje Mpwa? Ndio inakua gia rahisi eeeh! aaahh nimekusoma, niko na mmoja hapa ngoja niaze kulalamika shida, nione itakuaje maaana nasubiriwa na Wife home nae kaniganda hapa, eti anataka kunivua gamba! saa hizi?!!!
 
fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
hahahaha..mkuu hio ndio njia rahisi kama unataka akuhepe fasta.mpe hio uwahi home kabla waif hajakutafuta.
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,794
24,519
kuna wanawake wengine wanajua uchumi, wanaangalia potential for investment. ukilia shida hapo atakuhurumia vya uongo, aanze kukubembeleza ili ajue future plan yako na lini utapata mahela. ndo utagandwa sasa!
Hahahahaaaa halafu nikishamtisha inakuaje Mpwa? Ndio inakua gia rahisi eeeh! aaahh nimekusoma, niko na mmoja hapa ngoja niaze kulalamika shida, nione itakuaje maaana nasubiriwa na Wife home nae kaniganda hapa, eti anataka kunivua gamba! saa hizi?!!!
 
Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
48,666
67,982
Hahahahaaaa halafu nikishamtisha inakuaje Mpwa? Ndio inakua gia rahisi eeeh! aaahh nimekusoma, niko na mmoja hapa ngoja niaze kulalamika shida, nione itakuaje maaana nasubiriwa na Wife home nae kaniganda hapa, eti anataka kunivua gamba! saa hizi?!!!
 
fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
kuna wanawake wengine wanajua uchumi, wanaangalia potential for investment. ukilia shida hapo atakuhurumia vya uongo, aanze kukubembeleza ili ajue future plan yako na lini utapata mahela. ndo utagandwa sasa!

heheeee.king'asti sasa hao ndio 2tawaita vitega uchumi ama? Hio kali.
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom