Nimeamua kudondosha like, kufunga mkanda na kupita kimya mie
Yani namuwekaga profile fb,whatsapp,cm yangu anaishika any time wakati mwingine anaondoka nayo ila bdo tu anakuwa haniamini,yani huwa simuelewi akinioa itabidi ntumie cm yake yani tushee kila kitu,I.hate kugombana sababu ya cm/social media
Mkuu itakubidi u install application inaitwa phone leash katika simu ya huyo somebody..baada ya hapo utaiseti iwe inakutumia details {sms na calls history and call duration} kwenda katika namba nyingine au email unayoitaka weweUnafanyaje kuzipata msg ktk email yako naomba unielimishe