Jinsi ya kumtambua mchepukaji Me/Ke

Jinsi ya kumtambua mchepukaji Me/Ke

Tuna aminika sana tu mbona! Kama uko na mwanaume means ndio future husband! Utamuweka dp. Akiwa mchumba ndio mume huyo vile vile

Hujasema kuna ulazima gani wa kuwa kwenye mahusiano yasiyo na future? Kwanini uwe na mapenzi ya wasi wasi? Kuna kuwa na furaha kwenye mahusiano ya hivyo?

Nimekujibu mbona....kwamba moyo wa mtu kiza kinene (hasa wa mwanaume)...unaweza kuwa na mtu ukajiachia full raha ukajua ndo umefika kumbe mwenzio anakuchora tu na kukuona zoba......mmepangwa kama nane hivi.
 
Duuh, asee nane? Changamoto za mahusiano ya sasa ni tabu tupu.
 
Hiyo namba 14 ni ujinga kuamini ukiwekwa ndio unapendwa au uko peke yako..
Unaweza kuwekwa week nzima na mkawa mia.

Wengine wanaweka ili kusafisha hali ya hewa na aanze upya vyema
 
Hivi hii ya kuwekana profile picture inamata eeh? mimi siwezi kumweka mpenzi kwenye profile yangu kamwe..! miaka mia.... Mume niliyefunga nae ndoa labda

Usimuweke bana, tusije mjua tukamhurumia na mwishoe tukaona aibu kuzamia
 
mkuu michepuko hainaga kanuni wengine ni staffmate wanaongea ana kwa ana utazeeka hutawatambua ukitumia njia hizo
Usijidanganye wengine walikuwa na michepuko kwa muda wa miaka zaidi ya mtoto kuwa darasa la 5 lakini 40 zikifika utagundulika through online
 
Hivi kwa nini kusitungwe sheria ambayo itaruhusu mahusiano kwa watu kubanjuana kwa kila mwanaume /mwanamke yeyote yule?
 
Usijidanganye wengine walikuwa na michepuko kwa muda wa miaka zaidi ya mtoto kuwa darasa la 5 lakini 40 zikifika utagundulika through online

mpaka 40 hizo 39 zooote kala vyake bahna raha ya mchepuko uujue mapema ukiujua too late for what sasa
 
mpaka 40 hizo 39 zooote kala vyake bahna raha ya mchepuko uujue mapema ukiujua too late for what sasa
K unajua ni constant. Hivyo kila ulaji ni kama mpya. Ukijua kama anaanza haina shobo ila kama ni muda mrefu jua kuwa wewe ni muhimu kuliko mchepuko huo. Kwa mantiki hiyo una haki ya kufanya ufanyalo. Ila mchepuko kama ni wa muda mfupi inawezekana jamaa anataka kuchonga mzinga au siyo. Nina maana kama amechepuka kwa miaka mingi na hakuhamia kwake wewe ni kidume ila anabadili mboga. Ukimgundua una haki ya kutenda lolote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom