Jinsi ya kumtambua mchepukaji Me/Ke

Jinsi ya kumtambua mchepukaji Me/Ke

kwa hiyo wasiokuwa na simu wao hawachepuki? Na kama wanachepuka unawagunduaje
 
Hiyo namba 14 ni ujinga kuamini ukiwekwa ndio unapendwa au uko peke yako..
Unaweza kuwekwa week nzima na mkawa mia.
 
Point ya mwish inanihisu mm kabisa,nilikuwa na msichana hakuwahi kuniweka profile picha hata siku moja

Kumbe ndio maana.ila namshukuru mungu tulishaachana miezi mmnne iliyopita na ishara zote za hapo juu za michepuko ndio sababu ya kuachana kwetu
 
Hivi hii ya kuwekana profile picture inamata eeh? mimi siwezi kumweka mpenzi kwenye profile yangu kamwe..! miaka mia.... Mume niliyefunga nae ndoa labda
 
Tofauti ni nini hapo? Mume waweza muweka, kwanini ushindwe kumuweka mpenzi/mchumba wako?

Au ndio mguu nje, mguu ndani!(sorry for this)

hivi kuna ulazima wa kuwa na mahusiano pasi kuwa na future ya kueleweka?
 
Amaah....hujui tofauti kati ya mume na mpenzi???? wewe unaweza kuona future kwenye mahusiano kumbe mwenzio anenda opposite direction.....men..!! u trust them at ur own risk
 
Tuna aminika sana tu mbona! Kama uko na mwanaume means ndio future husband! Utamuweka dp. Akiwa mchumba ndio mume huyo vile vile

Hujasema kuna ulazima gani wa kuwa kwenye mahusiano yasiyo na future? Kwanini uwe na mapenzi ya wasi wasi? Kuna kuwa na furaha kwenye mahusiano ya hivyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom