bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,700
- 4,126
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.
2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati.
3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebukwanza.
4. Kamwe haiiti always vaibration.
5. Namba nyingi ha-save.
6. Kuna simu hapokei hata iweje anapenda sms zaidi
7.Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika.
8. Muda mwingi ni mtu wakujihami.
9 Anapenda password na anabadili mara kwamara.
10.Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta deal noharaka.
11. Always yuko na simu hadi bafuni ikibidi.
12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu anajishtukia.
13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi
14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko
Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja kabisa.
ACHA KABISA KUCHEPUKA JENGA UAMINIFU UMLINDE UMEPENDAYE DHIDI YA MAGONJWA.