Jinsi ya kumsaidia mtu anayefika kileleni mapema

Wanajamii kuna tatizo LA kuwai kufika kilele kwa baadhi ya watu, na najua watu wengi wamewai kusikia.

Inawezekana ikawa ni ugonjwa au matatizo ya kisaikolojia.

Kuna njia ya kuwasaidia watu hao awe me au ke njia inawasaidia wote bila athari yoyote.

Njia hiyo ni kumtanua makalio pindi unapoisi anakaribia kufika kileleni.
Yaani kama mume ndio yuko juu pitisha mikoni mgongoni kwakwe kisha shika makalio yke mpenyue ili katikati ya mfereji WA Suez iingie hewa ya kutosha.Na kwa mke njia ni hiyohiyo.

Inapoingia hewa katikati ya makalio itampunguzia uwekano WA kufika kileleni na kuchukua adi dakika 20 kuanza upya hali ya kufika kileleni, unaweza kurudia rudia ukiitaji.

Njia hii ni sahihi na haina madhara yoyote ni technic tu wakati kufanya mwenza wako asijue kama umempenyua makusudi.

NB.
Usitumie nguvu nyingi kupenyua ayo makalio asije kukunyea mpenzi wako ni taratibu kimahaba.

Inaonekana hii staili umeitumia na imekusaidia.... hongera bana... kupanuliwa ------ hadi kukata stim si kazi ndogo
 
Sasa mkuu huku si ndio kukaribisha ubwa bwa (i.e : Upunga/ mchicha mwiba)?? We toka lini mwanume ukapanuliwa kati kati hewa hiingie? umekuwa puto kwani?
 
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi jamani mbavu zangu mie eeeh zinauma
 
Yaani mie hata demu wangu anajua kabisa hata tukiwa kwenye shughuli akinigusa ---- hata kwa bahati mbaya ni kosa kubwa sana na anaweza kushangaa kapigwa kofi bila kujua limetokea wapi sembuse anipinye ------ na kuyatanua ninahisi siku hiyo chumba kinaweza kujaa damu kwa kipio atakachopokea
 
Nitajaribu, huwa nafika kileleni haraka sana, sasa sijui huu utafiti ni scientific au? nisije nikampanua au nikapanuliwa yakatokea mengine!

Mkuu, mi nilikuwa mmoja wa watu wenye athari hiyo, nilikuwa sifiki dk 5 wageni washafika. Yalinisaidia mazoezi, na ndio yanayolinda uwezo wangu wa kuchelewa wageni kuja mpaka kesho.Nenda gym, piga nondo kidogo, na mazoezi mengineyo utayoweza ukiwa gym, lkn ukiwa gym fanya mazoezi yote lakini kipaumbele iwe kukimbia, usiache kukimbia. Mwanzo nilikuwa napiga nondo tu na mazoezi mengine, nilikuwa sikimbii,matokeo mazuri sikuyaona. Nilipoanza kukimbia ndio nikaanza kuona mabadiliko,mkuu, sasa hivi mimi bingwa kwa mchuchu wangu, sikula kivumbasi, wala kunywa gongo (konyagi) wala kutanuliwa mfereji wa Suez,mazoezi tu ndio yanalinda ubora wangu kunako puchi puchi.Sijui kwa wengine ukiwemo wewe kama yatakusaidia au vipi, lakini kwa upande wangu 100% yanalinda ubora wangu kwa mchuchu. Sitaacha mazoezi, labda niwe naumwa.
 
Wanajamii kuna tatizo LA kuwai kufika kilele kwa baadhi ya watu, na najua watu wengi wamewai kusikia.

Inawezekana ikawa ni ugonjwa au matatizo ya kisaikolojia.

Kuna njia ya kuwasaidia watu hao awe me au ke njia inawasaidia wote bila athari yoyote.

Njia hiyo ni kumtanua makalio pindi unapoisi anakaribia kufika kileleni.
Yaani kama mume ndio yuko juu pitisha mikoni mgongoni kwakwe kisha shika makalio yke mpenyue ili katikati ya mfereji WA Suez iingie hewa ya kutosha.Na kwa mke njia ni hiyohiyo.

Inapoingia hewa katikati ya makalio itampunguzia uwekano WA kufika kileleni na kuchukua adi dakika 20 kuanza upya hali ya kufika kileleni, unaweza kurudia rudia ukiitaji.

Njia hii ni sahihi na haina madhara yoyote ni technic tu wakati kufanya mwenza wako asijue kama umempenyua makusudi.

NB.
Usitumie nguvu nyingi kupenyua ayo makalio asije kukunyea mpenzi wako ni taratibu kimahaba.

Yani wewe...mbona makubwa!
 
Kuanzia leo nikiwa na mwenza wangu nakua na kisu karibu. Kama ndo mabadiliko ya tabia Mapenzi mi siwezi
 
Yaani mie hata demu wangu anajua kabisa hata tukiwa kwenye shughuli akinigusa ---- hata kwa bahati mbaya ni kosa kubwa sana na anaweza kushangaa kapigwa kofi bila kujua limetokea wapi sembuse anipinye ------ na kuyatanua ninahisi siku hiyo chumba kinaweza kujaa damu kwa kipio atakachopokea

ha haha ha anapenyua alafu anakanda kanda kama mandazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom