Jinsi ya kumsaidia mtu anayefika kileleni mapema

Jinsi ya kumsaidia mtu anayefika kileleni mapema

ACHINJEMERE

Member
Joined
Oct 19, 2014
Posts
42
Reaction score
19
Wanajamii kuna tatizo LA kuwai kufika kilele kwa baadhi ya watu, na najua watu wengi wamewai kusikia.

Inawezekana ikawa ni ugonjwa au matatizo ya kisaikolojia.

Kuna njia ya kuwasaidia watu hao awe me au ke njia inawasaidia wote bila athari yoyote.

Njia hiyo ni kumtanua makalio pindi unapoisi anakaribia kufika kileleni.
Yaani kama mume ndio yuko juu pitisha mikoni mgongoni kwakwe kisha shika makalio yke mpenyue ili katikati ya mfereji WA Suez iingie hewa ya kutosha.Na kwa mke njia ni hiyohiyo.

Inapoingia hewa katikati ya makalio itampunguzia uwekano WA kufika kileleni na kuchukua adi dakika 20 kuanza upya hali ya kufika kileleni, unaweza kurudia rudia ukiitaji.

Njia hii ni sahihi na haina madhara yoyote ni technic tu wakati kufanya mwenza wako asijue kama umempenyua makusudi.

NB.
Usitumie nguvu nyingi kupenyua ayo makalio asije kukunyea mpenzi wako ni taratibu kimahaba.
 
mkuu wewe ushajaribu au umeskia kwa wenzio, nahisi unahamasisha uliberali hapa
 
Nitajaribu, huwa nafika kileleni haraka sana, sasa sijui huu utafiti ni scientific au? nisije nikampanua au nikapanuliwa yakatokea mengine!
 
duuuh!!!!
hz promo zingine bhana "WEKA MBALI NA WATOTO!!!"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom