Jinsi ya kumpata mwanamke bila kumtongoza

Mzee Kigogo

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
3,023
2,000
Hapo kwenye kuitana baby sasa kwa dada zetu wa kibongo kabla hamjafika mbali utasikia, baby nikwambie kitu?!
 

kiumbempole

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
219
250
Na kumpata mkaka jee

Sent using Jamii Forums mobile app
Jinsi ya kumpata mkaka:
1. Jifanye unamjali, muonyeshe ukarimu
2. Msifie
3. Jitahidi kucheka vichekesho vyake hata kama havichekeshi kivilee
4. Tafuta fursa ya kumgusa mara kwa mara
5. Mtazame machoni kwa aibu. Hakikisha amekuona.
6. Kama una namba zake, mwandikie sms za uchokozi mfano kama Leo unaweza kuandika -"Happy Valentine's day, anayekumiliki ana bahati sana " n.k n.k

Zingine wataongezea wadau, ila hizo ni uhakika. THANK ME LATER

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom