Kwanini wewe usijifunze kumsikiliza na huo upuuzi wake? Au kumuelekeza kwa upendo tu!!! Mwanamke kaumbwa kuongea akinyamaza jiulize mara mia mia.
JF mnajitutumua kweli, in reality mnasanda na hela mnatupa.. mkinogewa hamnaga ujanja.Me siendekezi huo upuuzi.
UsikaririJF mnajitutumua kweli, in reality mnasanda na hela mnatupa.. mkinogewa hamnaga ujanja.
usiji two two mueUsikariri
You wish. .....usiji two two mue
I never wish I swish.. yaishe mama tusigombaneYou wish. .....
Aaah uzuri sigombanagi mie. Usiku mwemaI never wish I swish.. yaishe mama tusigombane
same [emoji111]Aaah uzuri sigombanagi mie. Usiku mwema
Unajua Mpendwa hata km mke anafanya Kazi na nymbn kuna wapishi,,,,,ni muhm sn mke kuitambua nafasi yako kwa mumeo.Acha kukariri kwamba katika kila ndoa lazima mwanamke akupikie. Kuna maisha zaidi ya kupika panua akili.
Kuna watu wanaishi kwenye nyumba ambayo inawafanyakazi wa kusafisha na kupika, siongolei hawa wadada wa kazi naongelea wafanyakazi ambao wameenda shule na ni wataalamu wa kupika. Bado watu wana michepuko.
Note: pinga hoja kwa hoja na sio kuanza kuita watu majina ya ajabu eti msimbe?!
Wastaarabu hutofautiana hoja lakini kwa maneno ya busara.
Au wewe ni mgeni hapa jukwaani.
Hapana kuchepuka c asili yetu,,,,,mm nimeweka wajibu au nafasi ya mke kwa mumewe.Kuchepuka ni asili yetu, mtu hawezi kuacha asili yake kwa sababu ya kufanyiwa vijimambo kama hivyo. someni vitabu vya dini/historia mtagundua kitu.
Mungu akubariki na aifunike ndoa yako kwa Damu ya Yesu KristoPamoja na hayo uliyoyataja..lakini kutimiziana haja ya tendo la ndoa nalo ni muhimu sana.
Inanogesha utamu wa mahaba.. atakaemua kwenda nje kaamua mwenyewe,ila katimiziwa haja za ndoa zote.
Subiri nimpate anaeniuliza uliza...ndo uchepuke vizuri. Mnashangaza nyie!!! Mkeo hutaki kuchat naye lakini mchepuko kabla hajakuanza wewe ndo unamuuluza..." Umechoka baby?" "fanya kazi taratibu isijichoshe leo bonge la show..."na ku chat kwenyewe ni ujinga ujinga tu
eti 'umeshakula'? ....ndo 'unatoka'?
Una akili sana wew wangekuwepo watu 100 kama wew tz tungepiga hatuaSiku mtakapojua jua kuwa hakuna kishawishi wala sababu za kuchepuka ndipo fikra sahihi zitakuwa zimeeleweka.
Fanya zoezi dogo
Tafuta wanaume kumi wanaochepuka kisha waulize kwa nini wanachepuka?
Tafuta watu wa kada/uwezo/elimu/dini tofauti.
Hakuna atayekwambia anachepuka eti kwa kuwa mkewe ni mchafu au hajui kupika.
Hizo ni vijisababu tu ambavyo havina maana.
Kwa masomo yenu haya yasio na maana mmewafanya wanawake wengi waone kuwa iwapo mumewe anachepuka basi wa kulaumiwa ni yeye. Mnawatesa hawa wanawake hata kufikia hatua ya kuwa watumwa kwenye ndoa ili tu kukidhi haja na tamaa za.mwanaume.
Wengine mpaka wanaingiliwa kinyume na maumbile na wanaume wao wa ndoa kwa hofu asipompa hilo tundu basi atachepuka.
Sijui ni aina gani vitabu vya kiroho unavyosoma ikiwa una fikra na mtazamo hafifu kiasi hiki.
Kwani inamgharimu nini mwanaume kufua nguo za.mkojo za mtoto wako au kuhakikisha kuwa nyumba yako ni safi?
Wanawake na wanaume wanaochepuka kutoka kwenye mahusiano ya ndoa hawana sababu zaidi ya maamuzi ya makusudi ya kuvunja uaminifu na viapo vya ndoa.
Let's change instead of entertaining kuchepuka.
Sio asili yetu,,,,,lakn mke kufanya hayo kunakupa haki, ili hata mumeo atatoka basi ww unakua huna hatia. EZEKIEL 18:20 Inasema roho itendayo dhambi ndiyo itakayokufaKuchepuka ni asili yetu, mtu hawezi kuacha asili yake kwa sababu ya kufanyiwa vijimambo kama hivyo. someni vitabu vya dini/historia mtagundua kitu.
Hapana uckate tamaa,, kwa kufanya majukumu yako kunakupa Haki ww, yy akitoka iyo Haki yako lazma impigeUnazungumzia wanaume wa sayari ipi, hawa watu hata ubinuke hawalindiki yaani kama ni wa kutoka ataenda tuuu, kuna muda huwa nawaza hata maombi ambayo ni silaha kuu yanadunda sijui huwa inakuwaje yaani
Hongera sn my Dada miss chagga, nilikumic mzma we??????Nachukia tu pale jukumu la kulinda ndoa limekuwa la upande mmoja na upande mwingine upo kwa ajili ya kutafuta upenyo wa kuvuruga tu kuweka katika hatari ndoa muda wote embu muwe mnabalance hamjui kuwa mtu mzima halazimishwi labda aamue mwenyewe
Asante my Dada, vp kwnz ww mzma??? Maombi ni muhm sn kwa ajil ya ulinzi Wa kiroho pia. Be blessedPastor umesahau kitu cha msingi sana "PRAYERS"
Me mzima kabisa Pastor, sijui wewe. Be blessed tooAsante my Dada, vp kwnz ww mzma??? Maombi ni muhm sn kwa ajil ya ulinzi Wa kiroho pia. Be blessed