Jinsi ya kumkosanisha Rais Samia na Watanzania na kumfanya achukiwe: Tozo za Serikali, Katiba Mpya, Uonevu wa Polisi, Mambo ya Muungano

Kodi imeongezwa mia ? na Wapi ?

Tunaongelea Kodi ya Miamala hapa imeongezwa kiasi kwamba watu kuacha kutumia huduma ya miamala sababu option nyingine ni cheaper zaidi)
Kwenye bei ya mafuta Mkuu. Samia kaongeza shs 100 kwa ajili ya fedha za kujenga barabara vijijini
 
Raisi Samia inaonekana hajasoma huu uzi; uonevu wa Polisi

Kuna wakati wananchi wataona wazi jinsi serikali inavyotumia Polisi kuwaonea watu, na kitanuka kuliko mlivyowahi kuwazia. Eti Mbowe kapanga kuua viongozi. Mtu anaepanga kuua viongozi anaandika kwenye laptop yake?
 
Amepotea moja kwa moja
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…