Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,165
NJIA PEKEE YA KUMSOMESHA NAMBA EX WAKO AMBAYE AMEKUACHA KISA HUNA HELA.
1. Nenda kapambane upate hela.
2. Nunua gari bovu bovu (Lililochoka lakini linatembea) hata kwa laki sita tu yanapatikanaga.
2. Andikisha kadi ya gari kwa majina matatu ya EX wako
3. Nenda kalipaki ''Uwanja wa ndege'' katika Parking ya magari kawaida kisha ondoka zako usilifatilie hata kama ni miezi mitano.
KITAKACHOTOKEA
Idara ya parking katika viwanja vya ndege hutoza kulingana na muda gari limekaa eneo husika na kitakachotokea hapo gari hilo litatozwa pesa ndefu kuliko bei uliyotumia kulinunua.
WAKIJA KUMTAFUTA MWENYE GARI WANAMSHIKA EX WAKO NA HAPO NDO ATAJUA KWANINI YAMOTO BAND WANATETEMEKA BARIDI WAKIENDA MAKAMBAKO.