Jinsi ya kumkataa mwanaume

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,920
14,819
Jumapili Bwana TULIKUWA kwenye sendoff ya Corona, basi kuna chalii wangu kule ofisini anapeeenda sana kusoma nyuzi zangu za huku JamiiForums. Sasa akanialika BUZA juzi, akaniambia njoo ucheke kwenye oya oya ya sendoff ya Corona, nikatia timu jumapili mpaka Buza, oya oya kama zouteeee Yaani full shangwe๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ
Sasa wakati nashangaa shangaa shangwe, pemebni yangu kulikuwa na mabinti wawili.

Binti 1: Aisee yule jamaa pale anaechezacheza mimi simpendi kweli, yaani anajishaauuuua kujionyesha anajua kucheza nivutike lakini me patupu hata mshipa haushtuki

Binti 2: Sasa si umkatae, makelele ya nini?

Binti 1: Nishamkataa lakini king'ang'anizi

Binti 2: Tatizo wewe unamkataa kwa huruma sana, we mwambie una Ukimwi uone kama atakaa

Binti 1: Kweli ee? Sikuwahi kuwaza, doh ngoja nijisambazie sifa mtaani nita-trend kuliko.

Mi nikacheka sana kimoyomoyo na kuwaza, hivi kumtangazia mwanaume kuwa una Ukimwi ndio kumfukuza au kumsogeza karibu?

NYUZI ZANGU ZINGINE
1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi
2. "Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi
3. Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae
4. Je, mapenzi ni mabaya?
5. Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?
6. Alichonifanya mume wangu baada kurudi toka safarini
7. What you see is what you get!
8. Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?
9. Mpenzi wangu anajikojolea kitandani nifanyaje?
10. Happy Birthday Money Penny ~ March 8th Baby!
11. Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa
12. Shule imemshinda anatafuta 'sponsor'!
13. ''I love you Baby, kissess mwaaah'' ndio maneno nakutana nayo kila asubuhi, wewe je?
14. Money Penny Mpenzi, naomba namba yako ya simu
15. Story: Money Penny ni nani lakini?!
 
Hamkufunzwa jinsi ya kumkataa mwanaume bila kumkwaza?Ili siku ukionana nae popote asikuwekee kikwazo kupata fursa ingine yawezekana ajira au biashara nk.

Wanawake wanawahitaji wanaume

"Let's not turn women into snowflakes" aliwahi kusema Condoleezza Rice kwenye #MeToo movement

Nadhani ungemjibu kwa kujiamini na aridhike na jibu lako.

"Asante rafiki nina mtu wangu tayari."
 
Kwahiyo Hilo umeona ndio jiiiiiibu mwenyewe
Na aliekwambia ukijibu hivyo mwanaume anaondoka nani??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Labda kama wewe NI mwanaume ila kama ni mwanaume nadhani umeshanielewa
 
Mi ni mwanaume. Ukijibu kwa kujiamini lazima mwanaume atakuheshimu.

Labda kama sijaelewa mada
Kwahiyo Hilo umeona ndio jiiiiiibu mwenyewe
Na aliekwambia ukijibu hivyo mwanaume anaondoka nani??
Labda kama wewe NI mwanaume ila kama ni mwanaume nadhani umeshanielewa
 
Njia rahisi ya kumkataa mwanaume ni kumuomba hela tu
Akipiga simu mwombe hela
Akituma sms mwombe hela
Yaani wewe muombe hela tu atakimbia mwenyewe
 
Point kabisa

Hata Mimi ukiniambia kistarabu tu hapana Nina mtu wangu naondoka

Kuwa king'ang'anizi sio tabia za mwanaume ni za mvulana
Hamkufunzwa jinsi ya kumkataa mwanaume bila kumkwaza?Ili siku ukionana nae popote asikuwekee kikwazo kupata fursa ingine yawezekana ajira au biashara nk.

Wanawake wanawahitaji wanaume

"Let's not turn women into snowflakes" aliwahi kusema Condoleezza Rice kwenye #MeToo movement

Nadhani ungemjibu kwa kujiamini na aridhike na jibu lako.

"Asante rafiki nina mtu wangu tayari."
 
Njia rahisi ya kumkataa mwanaume ni kumuomba hela tu
Akipiga simu mwombe hela
Akituma sms mwombe hela
Yaani wewe muombe hela tu atakimbia mwenyewe
Vipi kama kila ukimuomba hela anakupa..? Mwisho wake itakuaje maana naona itafika mahali utaliwa tu.
 
Back
Top Bottom