Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
- #21
HahahahahahaNjia rahisi ya kumkataa mwanaume ni kumuomba hela tu
Akipiga simu mwombe hela
Akituma sms mwombe hela
Yaani wewe muombe hela tu atakimbia mwenyewe
HahahahahahaNjia rahisi ya kumkataa mwanaume ni kumuomba hela tu
Akipiga simu mwombe hela
Akituma sms mwombe hela
Yaani wewe muombe hela tu atakimbia mwenyewe
Watasikia👏👏👏Point kabisa
Hata Mimi ukiniambia kistarabu tu hapana Nina mtu wangu naondoka
Kuwa king'ang'anizi sio tabia za mwanaume ni za mvulana
Ndoroooboe 🏃🏃🏃🏃Sio kesi usipokuja Buza na sisi hatuji vingunguti.... Ngoma draw!!!
Uuuuwi 💃💃💃Vipi kama kila ukimuomba hela anakupa..? Mwisho wake itakuaje maana naona itafika mahali utaliwa tu.
Uuuwi, nisijebakwa bure 😂😂😂Ahahaa....njoo tuu bibie tule burudan,kikubwa pesa.
Kuna viwanja uku nkikupeleka unasahau kabsa Kama upo buza
Ahahaaa....hyo michezo ya mbagara,uku buza amani tuu,njoo tuu bibie upate raha ya buzaUuuwi, nisijebakwa bure 😂😂😂
Sauwa nitakujaAhahaaa....hyo michezo ya mbagara,uku buza amani tuu,njoo tuu bibie upate raha ya buza
Karibu bibie,mi npo tayar kwa ugeni wako mda wowote..Sauwa nitakuja
SauwaKaribu bibie,mi npo tayar kwa ugeni wako mda wowote..
Aisee, aiya😂😂😂Watu na corona hii wakiambiwa watulie majumbani hawatulii,halafu anakuja demu anasema ana ukimwi.ukimwi kitu gani bhana,tukimaliza si tunapaosha na maji mengi.
AISEEWatu na corona hii wakiambiwa watulie majumbani hawatulii,halafu anakuja demu anasema ana ukimwi.ukimwi kitu gani bhana,tukimaliza si tunapaosha na maji mengi.