Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

We hata ujue kuvaaje ila ukija ofisini hapa unakutana na sare ZETU...fashion hukoooooo
 
Katika mavazi tunavaa kwa kuangalia 1.unaenda wapi 2.Muda gani unamtoko 3.Unatumia usafiri gani (miguu au mzungu) 4.Utakaa huko unapoenda kwa muda gani? Mwisho ndio tunakuja na Rangi.

Sema trust me Vaaa vyovyote ujuavyo cha muhimu UNUKIE na UWE MSAFI....bila kusahau vaaaa UVAAVYO ukikosa Kitu mkononi kama SAA hupendezi...kwa mdada Ukikosa Hereni,cheni Hupendezi Uko incomplete....na kwa wadada pia Kuvaa na TEMBEA mvae TEMBEA za kueleweka.
 
Vaa pendeza nenda disco cheza
IMG-20190421-WA0005.jpeg
 
Katika mavazi tunavaa kwa kuangalia 1.unaenda wapi 2.Muda gani unamtoko 3.Unatumia usafiri gani (miguu au mzungu) 4.Utakaa huko unapoenda kwa muda gani? Mwisho ndio tunakuja na Rangi.

Sema trust me Vaaa vyovyote ujuavyo cha muhimu UNUKIE na UWE MSAFI....bila kusahau vaaaa UVAAVYO ukikosa Kitu mkononi kama SAA hupendezi...kwa mdada Ukikosa Hereni,cheni Hupendezi Uko incomplete....na kwa wadada pia Kuvaa na TEMBEA mvae TEMBEA za kueleweka.
Umeongea points tupu mkuu
 
Hadi nimekumbuka siku moja nilipata kidate (honestly say...was a blind date) basi bwana Nifah mie nikavunja kabati,nikatupia vitu vyangu nikajitazama nikaona hapa fresh....
Balaa nililoenda kukutana nalo huko sio kidogo,nilikutana na mkaka hajielewi....kavaaje sijui,hicho kiatu nilikiangalia mara moja tu sikurudia tena.

Mwenyewe alijishtukia akaanza kubabaika,oooh mtoto Nifah wewe mkali sana mimi namuangalia tu.
Uzuri nina huruma na utu,sikutaka kumfanya ajione nimemdharau au nimekuwa dissapointed,nilimchangamkia tu ila baada ya kutoka pale kufika home nilikasirikaje?

Inakera unapovunja kabati halafu unaenda kuonana na mtu wa kawaida!

Baada ya pale nilimpotezea taratibu hadi leo!
Hata wakaka yanatukutaga
 
Teh mpenzi hivi vigezo vingine me naviitaga tu "bonus". As long as mtu ana vigezo vile muhimu basi hivi vibonus naweza nikavipotezea tu kama havipo. Hutu tumwili bana nilikuwa na bahati navyo enzi hizo, siku hizi hata hatunifati teh teh

Kuna wengine wanakuwa wamejazia fulani hivi, but mwili unakuwa umebalance kidesign, yani hata akichomekea mkanda unaonekana na kiuno kinaonekana teh. Kama kakitambi kapo kale kakufutia simu mbona fresh tu mpenzi. Wewe em enjoy huko na shem bana. Mimi sielewi ntaishia kwa wa aina gani hahaha, I hope sio le mutuz type

Kakitambi kakufutia simu!
 
Back
Top Bottom