Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

kichekoh

JF-Expert Member
Sep 19, 2015
1,376
1,479
Habari zenu wakuu,

Naomba msaada,

Kwa wale wajuzi na wazoefu wa masuala ya mavazi. Nataka kujua rangi ipi ya nguo inaendana na ipi? Kwa mfano shati jekundu lina match na suruali gani?

Mwenye elimu si vibaya tuka share.

Karibuni sana.
 
Hivi rangi tanashati za nguo kwa mwanaume ni zipi.......?.....kwa sababu kwangu mimi ukinivalia shati jekundu nakuona kama Poacher.....ila ukitupia tshirt nyekundu na jeans flan amaizing.......nakuona kama Taye Diggs........
 
habari zenu wakuu, naomba msaada kwa wale wajuz na wazoefu wa masuala ya mavazi. nataka kujua rangi ipi ya nguo inaendana na ipi? kwa mfano shati jekundu lina match na surual gan! mwenye elimu si vibaya tuka share. karibuni sana.
Ukijiona sio mtaalam sana wa ku match, jitahidi uwe unavaa suruali nyeusi hio ina match kila rangi ya shati. pia hakikisha mkanda na viatu vina match especially kama unachomekea.
 
housekeeping
10-abiti-alberghi-ristoranti_10.jpg
 
Back
Top Bottom