Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 31,984
- 95,503
Hahaha kuna mapazia fulani yalikuwa kama yanateleza fulani hivi, nusu nigongwe na baiskeli Nzega kwa kushangaa , wasukuma wameshona sare. Mashemeji zako wamenishinda tabiaMwenzangu! Shemeji zangu nao hawajambo kwa kunisuprise