kama unatumia nokia symbian oroginal kuna software naweza kukupa unauwezo wa kublock mtu na sms zake utakavyo
unaweza ppia kuwafunga watu kutoka na mgroup yao kama wewe ulivyo waweka ila lazima uwe unatumia nokia AMBAYO NI KUBWA INAUWEZO WA KUINSTALL APPS
*0000# then ok kama unataka wasikupate. Kuifungua #0000# then ok. Kama unataka mtu fulani asikupate *0000*no yake# then ok.
Hata mimi inaniambia hivyo hivyo!!!mbona inaniambia Request not completed?
tafuta sim ya Samsung, huwa zina hiyo kitu unayoitaka.Unaitafuta hiyo namba kisha unaenda kwenye options halafu unaenda kwenye add reject list
Jaribu hii! *35*0000# Kufanga,kufunguwa anza na reli kwenye nyota!
Naomba feed back.
mkuu hii inafanya kazi. Mtu akikupigia hakupati lakini wewe ukiwapigia unawapata fresh!
mkuu hii inafanya kazi. Mtu akikupigia hakupati lakini wewe ukiwapigia unawapata fresh!