Jinsi ya kum block mtu asikupate kwenye mitandao ya simu

Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,405
3,678
Habari zenu waheshimiwa,
Nimesikia kuna namna mtu unaweza kum block mtu/watu flan kwenye mitandao ya simu....wasiweze kukupata hewani kama vile ilivyo kwa mtandao wa kijamii wa facebook.
Naomba mnijuze inakua vp ??

Thanks.
 
Hata sijaelewa mkuu, hebu toa hilo darasa maana hata mimi kuna KIMEO kinataka kuniletea kisirani kwa mama Ngina, nataka nikate mzizi wa fitina.............................

jamani kitu kizuri kula na wenzio,sasa huyu mama ngina kila kitu afaidi yeye 2,acha na wengine nao wajaribu bahati zao,ningekuwa mama ngina libichwa mtaa mzima kwa kupendwa,
 
jamani kitu kizuri kula na wenzio,sasa huyu mama ngina kila kitu afaidi yeye 2,acha na wengine nao wajaribu bahati zao,ningekuwa mama ngina libichwa mtaa mzima kwa kupendwa,
We hunitakii mema wewe...... Unacheza na Mama Ngina......!
Itakula kwangu mazima.
 
Hata sijaelewa mkuu, hebu toa hilo darasa maana hata mimi kuna KIMEO kinataka kuniletea kisirani kwa mama Ngina, nataka nikate mzizi wa fitina.............................

Nijuavyo mimi inategemea na simu,kuna Simu zina "Blacklist" option nyingi ni upande wa Call na chache ni kwa pande zote (Call na SMS),unazi'save No. unazotaka kuzi'block kwenye Black list ukii'set on basi wakikupigia au kukutumia message hawakupati hata kama simu itakuwa on.
 
mfn. Kwa wa2miaj wa nokia eg.e52, nenda kwenye setting>phone setting>call then fungua hapo utakuta kunasehemu imeandkwa call divert>voice call af chagua namba unazotaka o unayotaka.. Note; co cm zote unanzia huko ila nyng znaanzia direct kwenye call setting..
Ehe? Afu unaidaivetia wapi? Na Sms nazo zitakuwa haziingii? Hebu dadavua tatizo la mzee mwenzangu Mtambuzi nami linanikabili na kutalikiana na mama Matesha wangu sina huo ujasiri.
 
Last edited by a moderator:
Nijuavyo mimi inategemea na simu,kuna Simu zina "Blacklist" option nyingi ni upande wa Call na chache ni kwa pande zote (Call na SMS),unazi'save No. unazotaka kuzi'block kwenye Black list ukii'set on basi wakikupigia au kukutumia message hawakupati hata kama simu itakuwa on.

Mimi nina Nokia Asha 200, hebu nidadavulie nafanyaje kwa simu hiyo, niondokane na hicho KIMEO.......!
Mzee mzima nimeshikwa pabaya
 
*0000# then ok kama unataka wasikupate. Kuifungua #0000# then ok. Kama unataka mtu fulani asikupate *0000*no yake# then ok.
Sasa kiongozi, hii si utakuwa umeblock namba zote ikiwemo ya Mama Matesha wangu? Hii sasa mbona itaongeza utata? Tunahitaji ya kublock baadhi ya namba bana
 
Post ninazoziona hapo juu ukizifanya utakuwa umeblock namba zote zitakazokupigia!
Tunataka ile ambayo unaweza block namba flani tu
 
Sasa kiongozi, hii si utakuwa umeblock namba zote ikiwemo ya Mama Matesha wangu? Hii sasa mbona itaongeza utata? Tunahitaji ya kublock baadhi ya namba bana

Exactly cio za watu wote. nataka kum block a specific person....sasa ndo nafanyaje....Achana na maswala ya ku divert...yan una mblock mtu hata kama simu iko hewani yeye peke yake anakua hakupati....ila kwa wengne inakua kama kawaida.
 
Si umeambiwa *0000*07..........#
 
Kumbe watu hawapatani kiasi hiki............hii huduma ikiwepo na wakaijua wengi itakuwa tabu..Kwa hiyo mnataka mnipeperushie mdeni wangu?
 
tafuta sim ya Samsung, huwa zina hiyo kitu unayoitaka.Unaitafuta hiyo namba kisha unaenda kwenye options halafu unaenda kwenye add reject list
 
Wakuu nashauri hata kama yupo anayeijua hii huduma bora usiitoe maana wabongo wakiijua itaona simu zetu zitakavyopata shida.
 
Wakuu nashauri hata kama yupo anayeijua hii huduma bora usiitoe maana wabongo wakiijua itaona simu zetu zitakavyopata shida.

mi sioni shida kama watu wakijua hii huduma....kama mtu unakwaza na kusumbua watu/huna issue ya msingi....unapigwa chini tu kwan kitu gani !!!
 
Kwenye bb curve 8520 , nimeona kwenye calls dialled wEn u click option kwa juu kuna Blacklist & whitelist !! Ila in my bb torch hamna io k2 , mayb depends na OS
 
Back
Top Bottom