Jinsi ya kukata Kucha zisiote Tena!

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,774
Kukaa na kucha katika mwili wako kama huzipi huduma nzuri ni kero na pia ni hatari kwa afya yako,leo ngoja nikufundishe jinsi ya kuepukana na kero hii katika maisha yako yote.
1.Chukua kifaa chako cha kukatia kucha wembe sio mzuri sana.
2.Safisha kucha zako kwa maji ya moto mpaka ziwe laini kama unataka kula.
3.Anza kukata kucha kwa kuanza kidole cha pili baada ya kidole gumba.
4.Fuata mtiririko huo mpaka kidole kile kidogo.
5.Malizia na kidole Gumba
6.Usianze kukata kucha mkono wa kushoto Anza wa kulia....
Hakikisha zoezi hili unalifanya kila baada ya wiki mbili(2) Hii Muhimu sana usisahau,nakuhakikishia hutaona kucha Tena katika mwili wako.
Ahsanteni,J>F Idumu milele daima.
 
Sas kila baada ya wiki mbil utakua unakata nn ngozi ama? Coz umesem jinsi ya kukata kucha zisiote tena!!
 
hahahaha..." hakikisha unakata kucha kila baada ya wiki mbili..hazitaota tena nakuhakikishia.."
kuna mapopoma watafanya hilo zoezi
 
Back
Top Bottom