teh watu walikuwa wananitosa eti mimi mchaga gogo ,watanikomaje mtaani nazunguka kama fenimdogo wangu,
nakumbuka mama k alituambia haya mambo tunayazungumzia chumbani tu......
Akitokea hapa unalo la kujibu, shauri yako:nono:.
ngoja nifunge mlango hapa ofsini
leo ndo kazi tu
mhm! haya makubwa jamani hebu nitoke hapanihusuuu
uje umfundishe na dada yako huku,maana naangalia ustaarabu wa wasambaa,wamakondeteh watu walikuwa wananitosa eti mimi mchaga gogo ,watanikomaje mtaani nazunguka kama feni
Na zoezo hili lina faida gani kiafya?
Umenikumbusha mbali nilipokua 16yrs nilienda kumsalimia bibi Tanga kufika tuuhata siku 3 hazikuchukua muwekeni ndani
lazima apigiwe ngoma duh nilichukia mpaka basi miezi miwili ndani huko kiuno mtu vibibi vika kata kiuno kama paka chongo.
lakini ukitoka uko aaaaaaaaaaa! huna tabu ya kukizungusha unampeta kulia nakushoto...
Linaboresha afya ya akili i mean psychosocial.
teh watu walikuwa wananitosa eti mimi mchaga gogo ,watanikomaje mtaani nazunguka kama feni