demu wa kikinga
Member
- Mar 21, 2018
- 46
- 14
Wiki tatu zilizopita niliamua kumuacha mpenzi wangu wa muda mrefu , kutokana na vipigo vya Mara kwa Mara na usaliti nimeamua kumuacha mwenyewe tatizo naumia sana moyo umeanza kumkumbuka Ila mwili hautaki nimeamua kwa dhati kumuacha niendelee na maisha . nataka mnijuze nifanye nini anitoke akilini na moyoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app