ndaga boy mtemi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 589
- 208
asilimia kubwa tunatumia fake
Zile pin za battery ama battery lenyewe halijalegea? Linakaza vizuri?@Chief-Mkwawa nina note 4 ina tabia ya kuzima zima na ukitaka kuiwasha lazima utoe betri then urudishe ndo inawaka
nini solution mkuu??
Mkuu hii unatumia njia gani kujua,na pia no jinsi gani ya kujua kama hii simu refubrished au mpya.Mkuu pale unapokagua sim fasta unaweka apk ya cpu z na kuchek info..zikiwa poa unainunua..Mimi sijaelewa mnawaogopa wauza simu au?
Binafsi simu kama za samsung huwa naingiza kweny download mode mbele ya muuza simu ili nijue model namba isije kua zile korean version ambazo ndan znasoma international version..muuzaj akitaka hela yangu..lazma akubali condition zangu
Kujua exactly model ya sim yako kwa samsung ..ingia download mode kisha utaona model no ya kweli..Mkuu hii unatumia njia gani kujua,na pia no jinsi gani ya kujua kama hii simu refubrished au mpya.
Hivi download mode ndo ipi mkuu au unaenda sehemu gani kuipata?Kujua exactly model ya sim yako kwa samsung ..ingia download mode kisha utaona model no ya kweli..
Kuhusu refurbished
Pitia huu uzi
Jifunze kuzijua samsung zilizo karabatiwa(refurbished) - JamiiForums
Unazima sim,kisha una hold volume down + home key+ power key baada ya sec kadhaa sim itawaka kweny download modeHivi download mode ndo ipi mkuu au unaenda sehemu gani kuipata?
Inasema empty sababu hujatoa lock.Chief-Mkwawa mkuu simu yangu imekufa kioo nataka nipate picha zilizomo kwene cm tatizo nikichomeka kwane laptop inanambia folder empty naomba msaada
Imekufa kioo kabisa haioneshi mkuuInasema empty sababu hujatoa lock.
Imekufa kioo kwa maana haionyeshi kabisa ama imekufa tu touch?
Na simu ilikuwa na lock ya partenInasema empty sababu hujatoa lock.
Imekufa kioo kwa maana haionyeshi kabisa ama imekufa tu touch?
Ni simu gani? Kama inakubali MHL unaweza iconect na Tv ukatoa hio pattern.Na simu ilikuwa na lock ya parten
Simu ni samsung j1 aceNi simu gani? Kama inakubali MHL unaweza iconect na Tv ukatoa hio pattern.
Alternative zipo software za kutolea ila nazo pia inategemea na model ya simu.
Simu zote mkuu!Hii gsmarena ni kwa samsung pekee au sim zote?
Jaribu hii software, ni ya kulipia ila we tumia tu trialSimu ni samsung j1 ace
una uwezo wa ku root hata kama ni copy...naomba kujuzwa nitajuaje hii simu ni original na hii ni copy? na pili simu ambazo ni copy unaweza kuroot?
Simu zote mkuu!
Simu yangu imekufa kiio kabisa haioneshi mkuu hii natumia kwene computer?Jaribu hii software, ni ya kulipia ila we tumia tu trial
[OFFICIAL] dr.fone - Android Data Extraction: Recover Data from Broken Android
mbona Tekno Y4 siioni uko gsm_arena?Simu zote mkuu!
Simu imekufa kioo na ina partten naweza fanyaje nipate hizo dataJaribu hii software, ni ya kulipia ila we tumia tu trial
[OFFICIAL] dr.fone - Android Data Extraction: Recover Data from Broken Android