Jinsi ya kujua simu original ama copy

Jinsi ya kujua simu original ama copy

dedam

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
845
Reaction score
166
naomba kujuzwa nitajuaje hii simu ni original na hii ni copy? na pili simu ambazo ni copy unaweza kuroot?
 
Yap copy unaweza kuroot

Kujua simu original download cpu-z halafu compare specification original na zinazooneshwa na cpu z.

Mfano simu ni galaxy s5, ingia gsmarena angalia specificiation za s5 halafu download cpu-z angalia specs unaziziona then zilinganishe

Zikifanana ni original zikiwa tofauti ni fake
 
Download app inaitwa CPU Z kutoka playstore kisha install , itakupa full information za hiyo simu sasa wewe itabidi ufanye ku compare specifications utazopewa na cpu z na zile za online. ..
zikiendana basi ni original ila zikiwa tofaut hasa processor basi ni fake. .

copy nyingi zinatumia Processor za Mediatek/MTK

Copy pia mostly unaweza kuroot kama kawa.ila zinaweza kuleta mapichapicha si unaona tecno watu wengi wakiroot wanakutana na majanga sometimes.
 
asante kiongozi ubarikiwe
 
hii ya mapichapicha mwisho wake nini ni kuroot tena?
 
Yap copy unaweza kuroot

Kujua simu original download cpu-z halafu compare specification original na zinazooneshwa na cpu z.

Mfano simu ni galaxy s5, ingia gsmarena angalia specificiation za s5 halafu download cpu-z angalia specs unaziziona then zilinganishe

Zikifanana ni original zikiwa tofauti ni fake

Hii gsmarena ni kwa samsung pekee au sim zote?
 
Unataka kufaham nini mkuu?

nikwamba kuna tecno p5 inaleta mapicha picha mpaka kero so nimeambiwa niroot lakn mkuu chief mkwawa amesem tabu yake ndio hayo mapicha picha ukiroot sas hakuna njia nyingne ya kuondoa haya mapicha au simu ndio imekuwa kimeo
 
umejaribu kuroot sasa?? wewe root ili upate acces ya kuyatoa hayo mauzauza..yakitokea mengine solution zipo...tumia framaroot
 
nikwamba kuna tecno p5 inaleta mapicha picha mpaka kero so nimeambiwa niroot lakn mkuu chief mkwawa amesem tabu yake ndio hayo mapicha picha ukiroot sas hakuna njia nyingne ya kuondoa haya mapicha au simu ndio imekuwa kimeo

Mapicha picha? Au ndio matangazo
 
Download app inaitwa CPU Z kutoka playstore kisha install , itakupa full information za hiyo simu sasa wewe itabidi ufanye ku compare specifications utazopewa na cpu z na zile za online. ..
zikiendana basi ni original ila zikiwa tofaut hasa processor basi ni fake. .

copy nyingi zinatumia Processor za Mediatek/MTK

Copy pia mostly unaweza kuroot kama kawa.ila zinaweza kuleta mapichapicha si unaona tecno watu wengi wakiroot wanakutana na majanga sometimes.
Yani una-download kwenye simu unayotaka kununua? ipo dukani full boxed, unawezaje ku-download cpu z mkuu? tena wakati mwingine betri haina chaji.
 
Salaam Mkuu,
Nimarufuku kununua Simu Dukani ikiwa haina Betri yake haina Chaji inashauriwa iwe angalau 40%.
Kuhusu hilo la ku-install CP-Z ikiwa Dukani tena mpya kabisa na mimi nnaungana na wewe tuendelee kupata Ufanunuzi toka kwa Wadau.
 
Mkuu pale unapokagua sim fasta unaweka apk ya cpu z na kuchek info..zikiwa poa unainunua..Mimi sijaelewa mnawaogopa wauza simu au?

Binafsi simu kama za samsung huwa naingiza kweny download mode mbele ya muuza simu ili nijue model namba isije kua zile korean version ambazo ndan znasoma international version..muuzaj akitaka hela yangu..lazma akubali condition zangu
 
@Chief-Mkwawa nina note 4 ina tabia ya kuzima zima na ukitaka kuiwasha lazima utoe betri then urudishe ndo inawaka

nini solution mkuu??
 
Ingia tuhh online alafu tafuta IMEI info , baada ya kufungua ingiza IMEI za simu unayotaka kununua, itakuletea vitu vyote vilivyomo kwenye hyo simu
 
Back
Top Bottom