Jinsi ya Kujitoa kwenye Dhuluma za Vodacom

Jinsi ya Kujitoa kwenye Dhuluma za Vodacom

Mtu mzima ajua kupambanua jema na baya !
Uchaguzi mkuu umekaribia na tuyawaze ni nani atakuwa rais atalinda maslahi yetu
 
Vodacom jamani wezi hasa
nikiweka Bundle ya 499 napewa MB 40
kwa hasira nakopa 900 ili ninunue kwa 899 napewa 100MB
jamani humalizi saa moja nayo imeisha
WIZI HUU MPAKA LINI?
 
Wakati mwingine mnaweza kuwa mnawatwisha lawama zisizo za kwao. Bundle ya 20,000 inakuja pamoja na MB800 za data, sasa kama wewe unanunua bundle kwenye smart phone halafu pengine una matumizi makubwa ya Internet, hiyo 800MB unaweza kuitumia ikaisha hata kwa siku moja. Kuanzia hapo kila unapotumia Internet charge inakwenda kwenye salio lililo kwenye simu

Kwa mazingira hayo kama kuna matumizi makubwa ya Internet ni sahihi kukuta salio limeisha, na unakua umelipa ulichotumia

Yah kweli kaka! utakuta mtu labda kaingia whatsapp, kidogo kaenda fb, ka2miwa sms ya kawaida, kaenda kuisoma.. sasa hapo atanogewa na ataendelea kuchat kawaida...hapo unasahau kabsa kama whatsapp na fb viko On....then MB zikiisha normal credit inaanza kutumika bila wewe kujua...So utamlaumu nan!
Kikubwa ni kuwa makini na matumiz yako! Tatizo lao wanachelewa kumtaarifu mteja...Unakuta MB zimeisha mpaka normal credit imeisha then ndo wanakutaarifu!!!
 
Kulalamika haitosaidi hawa dawa yao nikuwashtaki tu ili walipe fidia..nikutunza ushahidi kisha kuwapeleka kwa pilato
 
Vodacom ni moja ya kampuni inayotumiwa na mafisadi kuwadhulumu Watanzania.
Na hii ni dhuluma kubwa inayolalamikiwa sana !

Makamba unasinzia tu na kuota urais !

Nimeweka sh 1000 cjaongea hata sekunde baada ya siku mbili nimekuta zimebaki 171. Jamani hawa vodacom mbona hivi???? Kumbe kweli hii kampuni wezi!!!!
 
Yah kweli kaka! utakuta mtu labda kaingia whatsapp, kidogo kaenda fb, ka2miwa sms ya kawaida, kaenda kuisoma.. sasa hapo atanogewa na ataendelea kuchat kawaida...hapo unasahau kabsa kama whatsapp na fb viko On....then MB zikiisha normal credit inaanza kutumika bila wewe kujua...So utamlaumu nan!
Kikubwa ni kuwa makini na matumiz yako! Tatizo lao wanachelewa kumtaarifu mteja...Unakuta MB zimeisha mpaka normal credit imeisha then ndo wanakutaarifu!!!


sisi tunalalamika haya yote tunayajua, nadhani nyie ndo hamfuatilii credit zenu. Mimi kuna cm yng haina kabisa internet service lkn jamaa wananilia salio langu km mboga! Nikiweka jero yaan kitendo cha kwenda kuoga nikirudi nakuta 488 au chini ya hapo! Na km suala ni wasp, sijui fb kuwa on basi ingekuwa mitandao yote inakata, sasa kwnn iwe voda tu? Nawachukia sn voda!
 
Vodacom jamani wezi hasa
nikiweka Bundle ya 499 napewa MB 40
kwa hasira nakopa 900 ili ninunue kwa 899 napewa 100MB
jamani humalizi saa moja nayo imeisha
WIZI HUU MPAKA LINI?

ndo kilichonohamisha voda baada ya kupunguza vifurushi
 
Hiyo ni kweli . ukiweka 1000 unakuta ishapungua . mie mpaka huwa nafikiria labda kodi ya line IPO chini chini inaendelea. Imagine sh 200 kwa kila mtz kila uwekapo vocha inakuwaje ?
 
Hpo hakuna dhulma ILA nyie ndyo mnajichanganya kwa mfano umeweka 1000 hlf ukijiunga inakataa baada ya muda unakuta salio limeliwa,hyo inatokana na kuacha data connection yako ikiwa on..ushauri kabla hujaweka vocha hakikisha connection zote za internet zipo off baada ya hpo jiunge ukimaliza kujiunga ndyo uwashe data connection au roaming kwa wanaotumia cm za window

Umewahi kujaribu unachosema ?
 
hii kitu imenikuta mimi karibia wiki lote hili nikiweka buku nikitaka kujiunga naambiwa huwezi kujiunga na kifurushi hiki sababu huna salio la kutosha, kuangalia salio liko mia nane na kitu. Nilidhan kwa vile ni smart fone nikawa natoa line ninapoweka salio naweka kwenye simu ya kawaida nako nakuta mambo ni yaleyale. Kweli hawa vodacom ni wezi sana
 
Kumbe wezi,ndo maana hapa kazini kwetu jamaa mmoja ukimbip na voda lazima atukane then anakutumia sms umtafute kwa airtel .
 
Nimekopa 900 sikuiona imekwenda,nkaweka buku 1,nkatumiwa sms kuwa nimekatwa deni
 
Back
Top Bottom