Kama ni smartfone,unatakiwa u-switch mobile data off kisha uweke vocha na ujiunge kabisa ndo uirudishe on,otherwise utalizwa kila siku.
Bado tukio moja tu ninahama huu mtandao, nimeweka salio 15,000/=Tshs nimejiunga na vifurushi vitatu vya 899/=Tshs kuangakia salio nina 7988/=Tshs...huu wizi wameshauzoea.
Halafu worse enough majibu si mazuri.
Pia wana mtego mwingine, tahadhari !
Kama umenunua kifurushi cha mwezi cha TShs40,000 basi uwe makini sana.
Ukikosea au kujisahau ukanunua kifurushi kingine chochote hata cha 500 hiyo 40,000 yote inafutwa au inakuwa imeliwa.
Hii ilinitokea majuzi, na nilipowapigia nilijibiwa kifupi tu kuwa 'terms and conditions apply'.
Ni dhuluma haswa !

Hpo hakuna dhulma ILA nyie ndyo mnajichanganya kwa mfano umeweka 1000 hlf ukijiunga inakataa baada ya muda unakuta salio limeliwa,hyo inatokana na kuacha data connection yako ikiwa on..ushauri kabla hujaweka vocha hakikisha connection zote za internet zipo off baada ya hpo jiunge ukimaliza kujiunga ndyo uwashe data connection au roaming kwa wanaotumia cm za window
Bado tukio moja tu ninahama huu mtandao, nimeweka salio 15,000/=Tshs nimejiunga na vifurushi vitatu vya 899/=Tshs kuangakia salio nina 7988/=Tshs...huu wizi wameshauzoea.
Halafu worse enough majibu si mazuri.
Vodacom zamani ilikuwa kampuni nzuri, kipindi kile wanatumia logo ya blue na ile "Leading Network in Tanzania". Walipo badili logo ikawa hii nyekundu na "Kazi ni Kwako" aisee kweli kazi imekuwa kwangu, nina huzuni sana moyoni.
Zimepita kama wiki mbili; baada ya kujiunga na bundle ya mwezi 20,000/=, ilibaki 126,000/=. Baada ya kama wiki kuangalia salio limebaki 65,000/=. Na hapo nina dakika kama 200 na sms zaidi ya 1500. Na situmii sana simu kupiga. Zaidi ni texts, Twitter, whatsapp na emails. Nikapiga customer care wakasema simu yangu (iPhone) inatumia sana salio. Niwe nazima data access. Akasema anarecord watanipigia ndani ya 24 hours. Siku iliyofuata kuangalia salio na ile 65,000/= ilikuwa imebaki imebaki zero (0) balance. Sio rahisi kuamini Voda wanafanya haya.

hata mi nimehamia airtel baada ya voda kupunguza vifurush
MI nilishahama zamani simu yangu ya voda inakuwa ya kupokea tu, mambo yote airtel babaKwakweli ni shida,mm nilinunua salio jana kwa mpesa cha ajabu wakabeba lote hadi salio lililokuwepo....nimewapa makavu live na nimewaambia nitashawishi watu 10 wa kuhama nao kwenye limtandao lao.
halafu hawa jamaa hawajali kila siku watu wanalalamika but none careki ukweli voda wahuni sio kwa sababu ya online au offline. Mfano umenunua muda wa maongezi ikabaki either 200 au 400 kesho huikuti. kama unabisha nunua vocha ya jero na bundle unayo then asubuhi angalia hutakuta salio.